Wema Sepetu Atoa Sababu ya Yeye Kutaka Mtoto wa Kiume!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia ukurasa wake  mtandaoni  Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha na kusisitiza  kuwa hiyo ndio sababu ya yeye  kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto  wa kike.

Day well spent.... With the Love of my Life.... Reason y I want a baby boy.... Cause I already have my girl... Love her too much.... My flesh and blood....” –Wema aliandika hayo mara baada ya kuweke picha hiyo hapo juu.

Kitendo ambacho wengi walikiona bado lile tatizo lake la kutokuwa na uwezo wa kushika mimba linamsumbua kisaikologia mwanadada huyu na hivyo wengi walimpa moyo na kumshauri aendelee kutafuta wa taalamu zaidi na Mungu atamsaidia.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kizazi huna,baby girl umempata wapi na baby boy utampataje wakati ulisha tupaga chooni? unafikiri watoto wanauzwa sokoni?...Bitch!

    ReplyDelete
  2. The first bitch is your mother asschole.. Kwani unamtukana kakukosea nini mwanga weeeeh.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I think the bigest asshole of all time its you, your mother and all of your family. can't you see ? kila mtu anajua hivyo.. so kwanini unamsemea wema , yeye hana mdomo? ndio wale wale .. wema akifirwa na wao wanatanua mikundu yao kwani huwaga ianwasha...Bitch!

      Delete
  3. @AnonymousApril 26, 2015 at 1:05 PM..Sasa mbona matusi jameni??? kwani kitendo cha kutaka mtoto ni lazima awe ametupa chooni mbona hamna hekima na roho ya kibinadamu??? mbona kuna watu wengi wanatafuta watoto na hawapati... wengine sio vile unavyosema... mungu ndio ajuaye sio sisi humanbeigs ok....please usimtukane hata kama wema mie sio shabiki wake but stop it....wewe kama unaye mtoto unahuakika gani utaishi naye mpaka kufa kwako....nenda ukatubu tena muombe mungu msamaha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahsante kwa kutoa elimu wenzetu wengine matusi yamewajaa wanajua kutukana. ni kweli akatubu km anahekima.

      Delete
  4. Enter your comment...utapata tu Dada mwema,muombe mwenyezi mungu kamwe hawezi kukuacha

    ReplyDelete

Top Post Ad