Hawa walisherekea kifo cha Mwalimu Nyerere, leo wanamtumia kuutaka urais!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kali

Aliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya,Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?

Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.

Lowa alifukuzwa uanachama wa TANU kwakosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa,

Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.

Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.

Alipofariki tu Mzee Nyeree, Lowasa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,

Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.

Rip J.K Nyerere

BY Yericko Nyerere/JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KUJARIBU KUENEZA MABAYA YA LOWASA NIKUOGOPA MAFANIKIO YAKE NI KIONGOZI GANI ALIYE SAFI HATA ALIYEFUKUZA WENZAKE NAE ALIKUA NA MAPUNGUFU ALIKOSEKANA WA KUMFUKUZAAAAA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Point ndugu. Japo alifanya mema mengi lakini hata huyo Nyerere alikuwa binadamu na mapungufu yake. Na moja ya mapungufu hayo ni kujiweka katika hali ya kuwa 'untouchable' kwa sense ya kuwa yeye tu ndio muona maovu ya wenzie lakini hakukuwa na mwenye haki ya kumkosoa. Pengine hao waliofukuzwa ni miongoni mwa waliojaribu kumkosoa. Tusihukumu uwezo wa mtu kwa kigezo cha ubora au ukamilifu wa binadamu mwingine ambae hakuwa kamilifu.

      Delete
  2. KUJARIBU KUENEZA MABAYA YA LOWASA NIKUOGOPA MAFANIKIO YAKE NI KIONGOZI GANI ALIYE SAFI HATA ALIYEFUKUZA WENZAKE NAE ALIKUA NA MAPUNGUFU ALIKOSEKANA WA KUMFUKUZAAAAA

    ReplyDelete
  3. LOWASSA NI MWIZIIII, MWIZIIIIII MWIZIIII

    ReplyDelete
  4. Wivu huo Lowasa ana IQ kubwa sana AKIWA RAIS ATAFANYA MENGI SNA TZ KWA SASA TUNA RESOURCES NYINGI ANAHITAJIKA RAIS MWENYE AKILI NA CREATIVITY KMA LOWASSA ALIJARIBU HTA KUTENGENEZA MVUA!

    ReplyDelete
  5. lakini wadau mnaopinga maneno ya muandishi hamjaeleza ukweli! Muandishi amesema Lowasa alifukuzwa kwa kosa la wizi wa ujenzi wa Umoja wa Vijana jijini Arusha, sasa nyie mnazungumza hakuna binadamu alotimilia, wizi na mapungufu ya binadamu ni mambo mawili tofauti.

    Mwenye majibu ya kukataa kama Lowasa hajaiba ndio atueleze wadau, ama kura yangu nasema HAPANA.

    ReplyDelete
  6. Sijawahi kuona mtu mpuuzi kama mtoa mada hii. Kweli kuna watu wanawaza kwa kutumia makalio. May be Lowasa si msafi hivo but who is clean anyway!? Badala ya kutoa hoja za nguvu unatoa harufu ya domo lako tu kwa chuki binafsi. Kwani nyerere ni Mungu kwamba akifukuza mtu kazi basi hafai.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukweli unauma jibu hoja sio kutetea uozo

      Delete
  7. Asante kwa mada mkuu, waliosema mtoto akililia wembe mpe hawakua wajinga. Hakuna aliemkamilifu lkn mmh!! tujiangalie tusije kujutia maamuzi yetu, maana tutakaopiga kura ni sisi wananchi masikini na ndio tutakaoteseka hapo baadae

    ReplyDelete
  8. Historian ya MTU nimhimu inasaidia kwenye assessment ya kumjaji MTU. Mtoa mada yuko sawa .hizo data zs Lwasa tunazihitaji mno kumjua MTU sio tu maneno yakuandikiwa ili a some namahanisha speech

    ReplyDelete
  9. Kumbe hata speech anaandikiwa lo! shame on him, kwanza naomba kujua elimu ya huyu fisadi ndio mambo mengine yaendelee. Na pia ajue hiki ni kizazi cha dot.com hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  10. Huyu sio kiongozi wa kuwainua wa Tanzania maskini, Lowassa an kundi lake ni watu wanaopania kuiangamiza Tanzania na maskini wa Tanzania kwa manufaa yake mwenyewe na kundi lake.. Hapati kura yangu hata moja... kwa nini ananga'ngania urais kabla hata hajapitishwa na CCM? Mheshimiwa Kikwete naomba usimuunge mkono, Lowassa hana nia nzuri ya uongozi badala yake atalipiza kisasi au atawarudi wenzake

    ReplyDelete
  11. huyu mtu hafai kabisa kuwa raisi

    ReplyDelete
  12. Jamani luwasa kiukweli hatufai yule nakundi lake wamefanya ufisadi mwingi sn tusilete mapenzi tuangalie ukweli kutokana na historia yake ni kweli alishafukuzwa TANU kwa uwizi wapesa napaka leo anakashifa nyingi sana huyu mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad