LULU MICHAEL Afyatuka Aamua Kumtolea Uvivu HUSNA MAULID...'Acha Kutafuta Kiki za Kisen** Kupitia Mimi'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya haya...mwenzenu uswahili niliacha Sema Naomba leo niuridie kdgo ️na Tafadhali kwa ndugu,jamaa,Marafiki ️na yyte. Mwenye uwezo ww kumfikia Mtu anaitwa HUSNA MAULIDI mtanisaidia ku munch ️na kumfikishia huu ujumbe....

ANGALIZO:Post hii itakaa kwa dk5tu....sihiitaji Post Virus in my New n fresh Page...!
Mwambieni na YEYE nilishamwambia ANIACHE mana inaonekana hawezi kukaa muda bila kunitaja au kuniongelea..!

️Ni hivi huu ni mwaka wa pili probably umekuwa UNAONGEA SANA on social media Lkn mm Nakaa kimya...Sio mjinga mwenzio...nakuepuka usijekuwa unatafuta pa kufia bureee...2nd stop competing wth me shooo tuko tofaaaaaaaaaautiiiiii my friend😭😭😂
Hivi ushangai mtu hana Muda ️na ww LKN we hakukauki mdomoni..!
Me sikutukani ila naomba ujumbe ukifie tu....ungefanya kama hujawahi kuniona wala kunijua tokea umezaliwa mana me nishafanikiwa kwa hilo..hakuna kipengele ulichobaki kwenye akili yangu hata kwa bahati mbaya..!

I thnk ukiacha kutafuta Kiki za kisen** kupitia mm bdo utakuwa wewe tu n nothing will change...!Oky bi dada
Angalizo:sio kama sijui matusi,na maneno ya shombo ninayo pia ila nimeamua kutumia Busara tu...!

Written By Lulu Michael
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe si ndo ulimchukulia Husna mpenzi wake sasa huna jipya unaanza kumtukana what a low life u are? una kingine tena bitch ass..

    ReplyDelete
  2. Asitafute pa kufia!! Hii kauli ina maana gani au ndio unaitangazia dunia kwamba wewe ni muuaji maarufu na mtu akikuzingua unaweza kummaliza kama tuhuma zinazokukabili sasa,fikiri vyema kabla ujatoa kauli.

    ReplyDelete

Top Post Ad