Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheik Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

Je wewe upo Team Gani?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli ndio anafaa lowasa bepari nikama kumtoa kikwete kumuweka lowasa.

    ReplyDelete
  2. wengi watakao jaa humo watakuwa wamenunuliwa!!! na wengi watakuwa cyo wapiga kura wameenda tu kuhudhuria sherehe!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad