Ikulu: Nkurunziza Hayupo Tanzania, Alishaondoka, Tanzania haina cha kusema juu ya alipo Nkurunziza.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Habari Ikulu,Salva Rweyemamu amenukuliwa na Redio BBC Swahili akisema kuwa Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza hayupo Tanzania. Akizungumza na BBC Swahili, Rweyemamu amesema kuwa Nkurunziza alishaondoka Tanzania na hivyo Tanzania haina cha kusema juu ya alipo Nkurunziza.

The saga continues!

Msemaji wa Nkurunziza amethibitisha kuwa Nkurunziza ameondoka Tanzania. Lakini,amekataa kusema alipo kwa sababu za kiusalama. Msemaji huyo amedai kuwa Rais Nkurunziza bado anadhibiti utawala wa Burundi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TAMAA MBELE MAUTI NYUMA, KWANN USIACHIE NGAZI??? AU MPAKA WAKUUE NDO UJUE, WW MIAKA YOTE HIYO ULOONGOZA NCHI BADO UJATOSHEKA?? NGOJA YAKUKUTE KAMA YA MWENZIO GHADAFF

    ReplyDelete

Top Post Ad