Makabila ya Pwani Wanawezana Wenyewe Ndoa zao, ni Shidaaa!, Talaka nje nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makabila ya Pwani Wanawezana Wenyewe Ndoa zao, ni Shidaaa!
Wadada wakicheza Ngoma Maarufu Pwani ijulikanayo kama Kigodoro

Watu wa Pwani wanawezana wenyewe kwa wenyewe ndoa zao,mtu wa bara utachemka tu.Ukanda wa pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara, Ruvuma na hata Morogoro pia ni walewale tu tabia, mila na desturi zao.

Vigodoro kwa sana, kushinda ngomani, shule kwao ni kama adhabu, vitabia vya ajabuajabu tu,ni shida...Yaani imefikia hata maendeleo katika Sehemu zao yapo duni sana ..

Kama ukiangalia Bagamoyo kwa sasa Wahamiaji ndio wanaoleta maendeleo kwa kununua mashamba na viwanja vya wazaramo na kuwaacha wenyeji hawana kitu ..

Kuachana na kupeana Talaka tatu huku sio stori yaaani Kila siku kama fashion tu 

Familia inauza shamba Cha kwanza lazima ngoma ipigwe usiku mzima, na kuita waganga waje wazindike nyumba au kutoa majini ndio zao huku umaskini ukiendelea kuwatafuna
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WE ULOANDIKA HII MADA ULIKUWA CHOONI UKIJISAIDIA AU?? OVYOOOOOO

    ReplyDelete
  2. Kidogo kidogo mnaanza kuleta "UBAGUZI"ndani ya nchi "eti"kabila hili ni bora na kabila lile siyo bora haujui ya kuwa tribalismus is a very bad rotten stinking habit ewe uliyeiandika mada hii without thinking?U're a big **s hole

    ReplyDelete
  3. Sasa hao 'wakuja' kwanini wasinunue mashamba na viwanja kwao huko bara wakaendeleza kwao? Kinachowafanya wote muhamie pwani ni nini?

    ReplyDelete
  4. Ovyo wewe mtoa post kajambe mbele kule mpumbavu weeeeeee

    ReplyDelete
  5. Hakuna ngoma inaitwa kigodoro kwani ukisikia mtu kaenda disco unafikiri huko kuna muziki au ngoma inaitwa disco? Nakushauri ongea mambo ya kwenu bara kuhusu kukeketa,kuuana ovyo,kuzurura na mifugo na kulala nayo kama nawe ni ng'ombe mwenzao ustarabu wote mnakuja kujifunzia pwani kama kuvaa vizuri,kulala kwenye nyumba nzuri,kuoga na kujisafisha vizuri mkitoka haja badala ya kutumia toilet paper wengine hata suruali mlikuwa hamzijui mmezoea kuvaa mishuka kama mmetoka usingizini

    ReplyDelete
  6. Kuna mkoa gani usiokuwa na mambo ya asili, watu wa Pwani ndo wameikomboa nchi hii we Ndorobo

    ReplyDelete

Top Post Ad