AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Lulu Amesema "Binafsi nadhani Sheria hii Itasaidia Kidogo Watanzania kupunguza matumizi Mabovu ya Mitandao ya Kijamii , Fikiria wazazi wetu wangetulia kwa kutukana kama ilivyo sasa tungekuwa wapi sasa hivi? "
Huku Lulu Akishangalia Sheria Hiyo Mrembo Wema Sepetu Amepinga Vikali Sheria hiyo kwa kusema inanyima uhuru kwa Mashabiki wake kumrekebisha , Wema Amesema yeye yuko radhi kutukanwa kwani ndio kunamrekebisha ......"Je mimi nitawezaje kujua makosa yangu ili niweze kubadilika na kufanya vizuri kama sintasikiliza maoni ya watu yawe mabaya au Mazuri" Ali hoji Wema Sepetu
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
she does not understand anything about the law iloletwa lemme upgrade her
ReplyDeletehajielewi huyo anaifurahia ili mazambi yake yasifichuliwe tena. Namchukia sana kwa kuharibu ndoa za watu na kuwafanya watoto wa watu kukosa malezi na upendo wa baba zao
ReplyDelete