Aunt Ezekiel Alimwa Talaka Tatu..Baada ya Mumewe Kusikia Ana Mimba ya Moses Iyobo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna madai kwamba, Aunt Ezekiel alishaandikiwa talaka na ipo nyumbani kwa wazazi wa aliyekuwa mumewe, Sunday Demonte, Temeke Mwisho jijini Dar.

Kwa mujibu wa chanzo, talaka hiyo iliandikwa na mumewe huyo baada ya kupata taarifa kwamba, mkewe huyo ana ujauzito unaodaiwa kuwa ni wa Mnenguaji wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo.


  • Hivi mnajua kwamba, Aunt alishaandikiwa talaka? Kama hamjui mjue sasa. Ipo Temeke kwa wakwe zake. Jamaa si yupo Uarabuni mahabusu, alisikia mkewe ana mimba ya Iyobo.  Nadhani wanashindwa kumpa hiyo talaka kwa sababu walishakata mawasiliano naye tangu kitambo,” kilisema chanzo.


Aunt mwenyewe alipotafutwa juzi  na kuulizwa kuhusu madai hayo,  alisema:


  • Sijui lolote kuhusiana na hilo, aliyesema kuwa nimeandikiwa talaka ipo ukweni kwangu ndiye angesema kila kitu yeye kwa vile anajua, mimi sijui.”


Credit:Gpl

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmh udaku ni udaku tu.alipojigungua mliandika mumewe asema atunziwe mwanae kitanda akizai haramu.Leo tena mnakuja Na talaka.andikeni mengine acheni Dada za watu wapumue

    ReplyDelete
  2. KUSEMA UKWELI UNTI PICHA HII ULITOKA SANA KAMA KIM? ACHANA NA TALAKA HIZOHATA ZINGEKUWA SITA UNGEVUMILIA MPAKA LINI BANAA.

    ReplyDelete
  3. yeah picha nzuri sana

    ReplyDelete

Top Post Ad