Diamond ndiyo Habari ya Nigeria!! Ali Kiba Upo Wapi? Diamond ameachia Video nyingine na IYANYA Itazame Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond ndiyo Habari ya Nigeria!! Ali Kiba Upo Wapi? Diamond ameachia Video nyingine na IYANYA Itazame Hapa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyimbo mbaya, kiki zimezidi,

    ReplyDelete
  2. SIONI CHOCHOTE KILA ANACHOIMBA STAILI ILEILE TU. DOMO ATAKUJA KUFA KWENYE KINENA.

    ReplyDelete
  3. yaani katika nyimbo iloni bore ni hii, hakuna kitu zaidi ya kukata kiuno. labda mademu wa almasi wataipenda.

    ReplyDelete
  4. BIG NOOO.THIS TIME DOMO KASHEMSHA KUKURUPUKA KUKIZIDI.

    ReplyDelete
  5. hakuna jipya, naona Nassibu anapenda aonekane anaimba na wanje basi ndo raha zake, ila ni mbaya sana.

    ReplyDelete
  6. nyimbo imetulia sana big upp Diamond,kwa mpango huu lazima uwe na maadui unajitahidi sana👌👏👏👏👏

    ReplyDelete
  7. Nymbo ni nzuri jmn! Nyny hpo juu ni roho ya kwann imewakaa! Jarbum kupenda vya kwnu wasenge nyie

    ReplyDelete
  8. Mwambieni ajue, wenzie kazi yeye anabakia kutafuta mabif ya kingese! Ngese2

    ReplyDelete
  9. kwanini wewe mwandish utaje jina la ali kiba acha unafiki.kiba ataki bifu na mtu.acha ujinga

    ReplyDelete
  10. Roho zenu mbaya mpaka mnakuwa weusi hizo msg za juu atakuwa alikiba anaziludia ludia huwezi kuzuiya mafuriko kwa mikino Diamod ni moto mwingine

    ReplyDelete
  11. HUNA LIPYA WE DOMO IVI KWELI HUWEZI KUFUNGA ILO DOMO LAKO LIKO KAMA MSALANI

    ReplyDelete
  12. relaxin na msikize nyimbo mbona iko poa na video ni mzuri tu acheni zenu, am mondi bin laden fan n wema fan too, mond kudos boy kip the spirits alive

    ReplyDelete
  13. hakuna cha wivu wala nini, kama mbaya ni mbaya. asiaambiwe yeye nani? si anakunya kama nyinyi.

    ReplyDelete
  14. Ametoa video ok, kulinganisha na kiba ibahusu nini? waandishi wa habari mnapenda sana beef,

    ReplyDelete
  15. Usikute Domo ndo kawalipa hawa waandishi wampe kiki kwa staili hii, mana ndo zake, Video kali nyimbo ya kawaida sanaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad