Pole Sana Edward Lowassa Maadui Wako ni Wana CCM Wenzako

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni mmoja wa vijana ninayemkubali sana Lowassa tangu akiwa waziri wa maji na baadae waziri mkuu. Maskini Pamoja kuugwa mkono na kila rika lakini kwa hotuba za makada wawili wanaoitaka hii nafasi ya uraisi ni dhahiri maadui wako wako ndani ya CCM na si UPINZANI kama nilivyokuwa najidaganya hapo awali!! pamoja na hotuba ya kistaarabu uliyoitoa juzi wenzako hawana hilo. Lakini mungu ni mwema tutashinda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hashindi ng'oo, CCM wakimteua yeye tutawapigia upinzani

    ReplyDelete
  2. WE WE WE .... MKOMBOZI WA TZ HUYO..
    NNJI HII INAITAJI MTU SERIOUS SASA C O KUCHEKA CHEKA

    ReplyDelete

Top Post Ad