Haya Ndio Madhara ya Wapenzi Kunyonyana Sehemu za Siri kwa Kutumia Midomo Wafanyapo Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia  zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.

Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.

Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DUH MTU ANAMNYONYA MTOTO ULIMI? OOOH NOOOOO
    LBDA KUKAVUTA MAKAMASI PUANI LAKINI MDOMONI? NA ULIMWENGU WETU HUU WA MARADHI?

    ReplyDelete
    Replies
    1. huu ugonjwa unaitwa herpes. herpes I inapatikana mdomoni na sehemu za siri. na nyingine inaitwa herpes ii ambayo inapatikana sehemu za siri tu. sasa mama akijifungua mtoto wakati ana huu ugonjwa ndio matokeo yake hapo juu. mtoto anazaliwa na hivyo vidonda. na mara nyingi vinampofua mtoto macho. mama mjamzito akiwa na huu ugojwa lazima ajifungue kwa operation. matumaini maelezo yangu yamesaidia kidogo

      Delete
  2. sikatai ila swali ni kwamba hao ambao mmesema wanakua chini ya uangalizi wa wauguzi ndo kwamba wanatoa bacteria pamoja au wanaofanana A TOWN STAND UP

    ReplyDelete

Top Post Ad