AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kinachoendelea kwenye utitiri wa watiania wa Urais CCM IKO sehemu tatu.
1. Failure ya urais KWA maana ya Kikwete hivyo ameufanya urais kuwa rahisi Kwa sababu hao wenzake wakiwemo waliomsaidia kufika hapo wanaona Kama huyu hadi anaingia madarakani alisema hajui chanzo cha umaskini wa Watz kisha alipomaliza term ya kwanza akasema alikuwa anajifunza sasa sisi tunashindwaje kuwa marais.
2. Failure ya CCM kuandaa viongozi Pia kutoheshimu taasisi hiyo.
Kwa chama makini kilipaswa kuwa na mkakati wa kuhakikisha kuna utaratibu wa transitional ya uongozi Kwa maana watu makini wanakuwa wameandaliwa Kwa miaka hiyo 10.
Sasa CCM Kwa sababu ya kuchoka na kuzidiwa mapigo ya upinzani ambao unazidi kujipanga na kuwa imara kuiondoa CCM na kushika dola kuongoza serikali, wameshindwa kabisa kuwa na mpango wa kutafuta mrithi wa Kikwete Kwa hiyo kila mtu anajichukulia fomu hivyo inatuonyesha kabisa kuwa ccm imeschoka na inatakiwa kupumzishwa sasa na nchi kuwa kwenye utawala wa mikono ya mungu mikono ya UKAWA.
3. Wamedharau nafasi ya urais...wanafikia mahali watu ambao waliwafukuza Kwa tuhuma za ufisadi leo wanachukua fomu Kama mbinu ya kutafuta forum ya kujisafisha lakini pia wamefikia mahali wanaruhusu na kuchukua hela za watu wanaojua kabisa hawana Sifa mfano huyo mkulima wa Jana wakijua ni darasa la Saba Huo ni utapeli, Mambo yote haya yanaonesha CCM inapaswa kuondoka Kwa sababu imeshindwa na imechoka. Utitiri wote huu unahalalisha kabisa pasipo mashaka yeyote yale hamna jipya ndani ya chama hicho isipokuwa imefika wakati wa UKAWA Kutupeleka
SAFARI YA UHAKIKA...
HENRY KILEWO
CHADEMA 2015 MWANGA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hiyo ndiyo demokrasia siyi chadema ni mbowe na slaa ukitaka kuwanis nafasi wanakufsnyia mizengwe no democracy. Cuf ni maakim seif na lioumba halafu urais si kazi ngumu ni kujus kuongiza diyo lszima uwe msomi hsta daeas ls nne snawexa bors awe ns timu nzuri. Chsdemactwajua nu slaa tu mtu kachoks bsdo mnsye tu!!!
ReplyDeletekaka hata kuandika hujui hapo juu, yani hii inaoonyesha dhahiri jinsi ccm ilivyowalea mpaka leo hata kuandika vizuri humjui, hayo ndiyo mafanikio ya ccm kupata vijana kama nyie ambao ni janga la taifa la kesho!!
Deletemmmh!
DeleteMdau umenifurahisha sana. Hawa watu wanaoisapoti ccm utawajua kwa fikra mgando walizonazo. Mtu smart phone inamzingua sembuse mageuzi?
Delete