AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..
"Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki wakubwa wa mastaa hapa mjini!
Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na kuwasifia Niwataje?
Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa dunia nyingine !!!".
Tanzania Hottest Celebrity Gossip New
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huyu demu mjinga sana sikutegemea anaweza ongea pumba hizo hasa hasa Za kumsifia shoga,next huna cha kuandika just shut up
ReplyDeleteunga hautoki haraka kichwani. itachukua miaka 10. ndo awe mzimaaaaa, kama kweli kaacha.
ReplyDeleteSikutegemea kama Ray C angeweza kuongea pumba kiasi hiki. Kweli unga hautoki haraka kichwani ovyoooooooooo
ReplyDelete