AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wanajanvi, kiukweli bila kupepesa macho, ukioa mwanamke ambaye hana bikira hakika umeoa mke wa mtu. Mambo haya yamewakumba wengi,mwanamke hatakaa akutii kabisa viumbe hawa huwa na shauku ya kupenda akiwa na hiyo siri na wakati anaitunza mara nyingi huwa anawaza ni jinsi gani itakavyokuwa siku anatoa hiyo zawadi, anapopata mtu hummwagia furaha yake na maumivu pia, hapo ndipo hutunza kumbukumbu ya milele ya mfungua siri huyo, wanawake wengi huwa hawaachi watu hao. Akikutana naye wanajikumbusha sana, usiombe mkeo awe anaenda mapunziko likizo ya desemba peke yake, ukiona analazimisha jua kamkumbuka huyo mume na akienda ataliwa tu. Jamani wasichana tunzeni zawadi hii muhimu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ujinga mtupu...mbona nyie mwanaume mnaoa hamna bikira zenu kwann msioe waliowatoa bikira!?
ReplyDeleteKila kitu wanawake wanawake ovyoooooo!
PUMBAVU WEWE HUYU MTU NAYE ANA BIKIRA????????????
ReplyDeletehivi nyie udaku muwe mnaangalia post za kutuma jamani!!! this is too much!!
ReplyDeleteHaina ukweli wowote, not reliable!
ReplyDeleteTeeena shenz type lol.
ReplyDeletekalale mbele ww mwanakwenda uloleta huu uzi