AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na gazeti la Nipashe Uwoya alisema wasanii wengi wa sasa wanashindwa kufanya kazi kwa sababu wanaona kazi hiyo ni sehemu ya kupatia wapenzi wa kiume.
Alisema wacheza Filamu wa kike huwa wanapenda kujirahisisha kwa Wanaume na matokeo yake kushindwa kutoka kama ilivyo kwa wengi wa waanzilishi wa sanaaa ya uigizaji Filamu nchini.
Hivyo amewataka wasanii wa aina hiyo kuacha tabia ya kujilengesha kwa Wanaume na badala yake wajione wapo kazini muda wote.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hamna lolote, wote mnafanana tu, hakuna msanii wa siku nyingi wala underground.
ReplyDelete