Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya kutoka na boyfriend wa msanii Linah.

Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuamasisha vijana wajitokeze kujiandikisha kwenye daktari la kupigia kura, nimekuja kujiandikisha huku kwa sababu mama yangu ni mtu wa singida so nimejiandikisha tayari tukutane 15 tena kuja kuchukua fomu, kwasababu fomu zinatoka tena tarehe 14 mwezi wa saba so inshallah tuombe uzima, kampeni zimeshaanza zile ndogo ndogo nashukuru Mungu naendelea vizuri nahitaji support kwa jamii

Diva:“…I Know about kampeni za chini chini ambazo ulikuwa unafanya kwa muda mrefu kwaajili ya kugombea Ubunge na umepiga picha kwa Raqay tayari ukiwa na mavazi ya CCM si ndio kampeni pale iko pale pale au??…”

Wema:“…. Yes nimefanya so ama nilikuwa nazungumza na mangement yangu ambayo yupo Martin kadinda na pia yuko Petiman  ambaye yupo katika suala zima la kampeni yangu so watanzania wajue tu yes  nitachukua fomu ya kugombea Ubunge wa viti maalumu ya mkoani Singida and tutaona uko mbele itakavyokuwa kwasababu hiki ni kinyang’anyiro naingia katika ni kama vile naingia kwenye mapambano yaani vitaani so kuna kupata na  kukosa lakini si fikiri kukosa kwasababu mtu ukifikiri kukosa unajiweka kwenye negative side sana lakini najua kwa nguvu za watanzania na kwa nguvu za wananchi wa Singida wataweza kuniamini na kunipa kura zao.

Katika mahojiano hayo Diva alimuuliza Wema Sepetu kuhusu ishu ya kuwa na mahusiano na boyfriend wa Lina alisema”...Huwezi amini hizo habari si za kweli kwasababu tulikuwa tunafanya project  zinakuja ila nimeshangashwa kuona kwanini Lina ameenda on air kwenye kipindi na kuzungumza hizo habari kuwa natembea na boyfriend wake naomba watu waelewe kwamba sikweli…”

Millardayo.com
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo ukome kurusha picha za utata hata ukiw akatika projects!!

    ReplyDelete

Top Post Ad