Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.

Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka  picha za kuonyesha  jinsi  Mungu alivyolia kumuumba  na kumpa  mapaja yenye ushawishi  kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama wakiume.

“ Mungu amenijalia akuwa  na hips nzuri , makalio makubwa na muonekano mzuri  kwa  watu sasa kwa nini wananitukana  kana kwamba ninawabebea mabwana zao  na  endapo wataendelea nitafanya hivyo ili waseme vizuri  kwani  nimechoka kusemwa kwani nina uhuru  wa kuweka picha yoyote ilimradi haivunji maadili ya Kitanzania,” alisema Aunty Lulu.

Alisema kamwe hataacha  kufanya  hivyo kwani  yupo huru  na  anajua nini anakifanya  na si kuongozwa na  watu tena wanawake wenzake  ambao kwa kiasi kikubwa  wamejaa wivu kuliko wanaume.

Tanuru la Filamu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo mikaaji yako inanimbia wazi wazi kama wewe ule mchezo unaufanya na unausheherekea sana japo ukiulizwa katika media unakuwa magutu oh mimi sijui wananisingizia jamani lakini wewe ni no sweat kabisa bingwa na uinaijua nje ndani ile lugha yetu shauri niambie wewe mwenyewe huko mbele mimi kwa nini na wakati mgongo wako huko nyuma unaita waziwazi na inaeleweka fresh kuwa siku hizi mchezo wenyewe ndio huo tako tu

    ReplyDelete
  2. MBONA UZURI WENYEWE MISIUONI JAMANI, HII HATARI KWELI ETI MAPAJA MAZURI MHHH INGEKUWA KWELI SUJUI INGEKUWAJE. JIHESHIMU WE MAMA!!

    ReplyDelete

Top Post Ad