Kama Lowassa ni Fisadi, Rais Kikwete tamka Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama Lowassa ni fisadi na mwizi wa mali za watanzania.

Mwenyekiti wa CCM JK simama hadharani na utamke wazi wazi la sivyo tunaposema CCM ni chama cha mafisadi kwa miaka yote msipingane na Sisi.

Au La na mwenyekiti wa CCM utakuwa upo kwenye cheni moja na EL
Mnaogopa nini kumtaja kama ni fisadi?

Na kwanini mtumie vijana wa ngazi za chini kama Makonda na Nape kwenye chama chenu kumwandama na nyie mkiwa kimya?

Tunaitaji matamko ya
1.Mwenyekiti wa CCM
2.Makamu mwenyekiti CCM
3.Katibu Mkuu CCM

Sio Mavuvuzela wa chama,la sivyo nyote ni mafisadi na wezi tu mnaooneana aibu kwa kuzidiana ufisidi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli kabisa hata mimi nina wasiwasi hata Rais wetu anaweza kuwa fisadi mkubwa sana kuliko Lowassa.

    ReplyDelete
  2. Hiyo si kazi ya mwenyekiti

    ReplyDelete

Top Post Ad