Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polis Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisisiemu lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Edward lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mabomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo bana kwa kuchakachua habari eti mara ya kwanza maandamano yasio rasimi yanafanyika bila mabomu, unafiki, unafikiri polisi wajinga wanatizama situation wametumia busara wanajua maandamano kama hayo yamefanyika makusudi ili wapigwe mabomu kumpromoti fisadi, yangepigwa mabomu wangeanza kupiga kelele na kuleta za kuleta oh wana muogopa Lowassa wanaanza kumhujumu ili asi hitimishe safari yake ya kinafiki ya matumaini

    ReplyDelete
    Replies
    1. si ajabu kwa kipindi tulichonacho tukawa,pata wanafiki,mabazazi,waropokaji,wehu,laana kul,kama wewe anonymous.wewe ni sikio la kufa.unatumiwa na ccm,huna hoja wala ustaarabu chembe.mwisho wenu octoba 25 mtoto wa kikopo.ushindi wa lowassa ni ushindi wa watanzania wote

      Delete
  2. go my baba gooooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kuna ustaharabu,utulivu,upole na hasa weledi wa kutambuwa mabadiliko ya kweli,.. huyo atakaye rusha bomu ni nani.Nadhani hapa siyo fitina wala kuficha ficha tena,inaeleweka tulio wengi,... just a little bit changes has to come,.. lets all be gentle on this muchakato.YES WE CAN, make it happen...!

      Delete
  3. NI UJINGA WA CCM KUJIONA KUWA HII NCHI NI YAKWAO TU. BUT NAAMINI KWA LOWASA WATAKOMA.

    ReplyDelete
  4. Lowassa safiiiii tunaimani nae, tunaitaji mabadiliko,

    ReplyDelete
  5. Hao wote walio jaa hapo ni ushabiki tu hata hawajajiandikisha kupiga kura mwisho wa siku oooo ccm wameiba kuraaa,,, lowasa upo juuu fisadi wa ccm ila chadema kwa sababu tunataka madaraka weee raisi wa wasafiiiii.

    ReplyDelete
  6. Wewe unayembeza lowassa akili zako hazikutoshi Sana. Tumia lugha nzr kuonyesha ufaham wako juu ya siasa. Lowassa anamalengo ya kufika ikulu. Hata Kama hatafanikiwa lkn tunahitaji haki itendeke, ccm ilimwonea kwa kumpakazia mambo mengi. Ndio maana wakubwa wa ccm hawawezi kuongea juu ya lowassa. Wapo vijana wanatumika Na wazee ccm wamseme lowassa kisha wateuliwe ukuu wa wilaya. Na ww Kama unataka madaraka ccm, mtukane lowassa au kampige jaji warioba. Ukifanikiwa utakuwa mkuu wa wilaya temeke. Yaan hapahapa mjini .

    ReplyDelete
  7. Miaka mingi tumetawaliwa Na watu c mafisadi. Ndio maana tumebaki kuwa nchi maskini yenye viongozi matajiri. Sasa cjui wamekuwaje matajiri Na Wao tuliwapa kura zetu tukiamini kuwa wasafi. Mfano rais chinga baba wa taifa akatuambia msafi atambana Na rushwa. Akaibuka Na epa, radar, Na mengine tena baada ya kuwa Na upinzani. Mbunge wa ccm akichangia Tu nec inakutana dodoma kuwafunda wanaokandia wizi. Wakitoka huko thubuti kmya. Akaja hboy mkwere Mzee wa vimwana. Akagawa zaidi kwanza kila kimwana mkuu WA mkoa au wilaya au vti maalum au vyote inategemea ulijitumaje wakati WA kuhudumia. Wakiume uwaziri. Akawa serikali ya kishikaji hakuna wa kukemea. Wakaanza kuzipiga akina karamagi, chenge, nk. Uwepo wa wapinzani bungeni Kama zitto, wakapiga kelele. Mtakumbuka yaliyomkuta kijana wetu. Eti kadanganya Bunge huku wazee WA ccm wakipiga makofi aondoke bungeni. Iko Richmond ,escrow, mikataba ya gas. Ki ujumla ccm mmetuhadaa Sana Na hawo wagombea wenu. Mpango wa mwaka huu Ni kumchagua fisadi akatufundishe jinc ya kupiga pesa za deal. Akifanikiwa wote tutakuwa Na pesa Kama familia ya mkwele. Tuungane tumchague. Mapombe Ni mzr ila tatizo anaenda kufanya yaleyale nae anatuambia Hana yake ila yako ya Chama kaagizwa akafanya. Duuuh miaka kumi tena mingine jamaa akahamishie Mali za nchi kwa familia yake. Kweli lkn. Is not fair. Tuchague fisadi miaka hii mitano tuone. Tafadhali mm niko huku ughaibuni huu Ni ushauri Tu. Maana katiba inatunyima haki ya kupiga kura ukiwa majuu.

    ReplyDelete
  8. Go go go more gooooo

    ReplyDelete
  9. We mtoa maoni wa kwanza huna busara

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa sina busara Wabongo tunaongelea sana ushabiki na kuukana ukweli kwa gharama yoyote hata kama tuna lala njaa, hio poa Lowassa ukiupata uraisi kwanza ulikuwa unachota kwa bakuli sasa tumia ndoo tokome viherehere

      Delete

Top Post Ad