LEMUTUZ 'Jikombe na Jipendekeza kwa Watu Wenye Akili Kubwa na Wewe Uwe na Akili Kubwa...Achana na Mburalazzz Wanaompigia Kura Davido'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LEMUTUZ  STRAIGHT TALK:- Coffee time live at the Office of my Super Friend Le Mpiganaji Bilionea Davis Mosha...sasa hivi yupo Downtown Moshi but all the plans comes from here hahah halafu hapa nasafisha nyota pia U know....a hahaha it is also my SUPER DREAM one day kuwa na BIG MONEY ya kuwa na SUPER OFFICE LIKE THIS..now akili ndogo ni kwamba NINAJIDAI NA KUJIPENDEKEZA ila AKILI KUBWAZZ like mine ni UKIWA KARIBU NA WARIDI UTANUKIA WARIDI TU hahaha na UKIWA KARIBU NA super gademu mburulazzz with no gademu brain guess what? na wewe utakuwa tu kama sio tayari....na kama huamini pitia hapa Instagram utakuta mburulazzz Mkubwa anafuatwa na followers kibao mburulazzz kama yeye hahaha yaani hamna mwenye nafuu kiongozi ni empty brain so are followers . wanachopigania hakieleweki na wanachosimamia hakieleweki in fact hata wanachofanya hakieleweki una mfollow mtu hata Ofisi hana hahaha unakuwa na rafiki kazi yake kukunulia mapombe tu huwezi kushituka kuwa akili yake imeoza so anataka na yako ioze kama yeye...people wachana na marafiki wajinga kama it takes KUJIKOMBA kuwa na MARAFIKI wenye AKILI KUBWAZZ do that cha muhimu ni MATOKEO sio PROCESS watu watakuheshimu ukionyesha matokeo like me nimerudi Majuu na AKILI KUBWAZZ hapa bongo imekubalika na Matajiri wengi wenye makampuni makubwa na sasa in just 4 years na Mimi Nina Kampuni yangu hata kama ndogo lakini Mimi na Hawa Matajiri wakubwa wote tunajisajili BRELA na TRA ganda la Certificates ni lile lile na wakiitwa wenye kampuni na Mimi nachechemea naenda hahahaha....wakiitwa watu wanaoajiri wafanyakazi na Mimi nachechemea naenda hahahaha ndio maana ya AKILI KUBWAZZ unajkomba kwa wenye makampuni na wewe unafungua yako ...jikombe kwa mburulazzz wakufundishe namna ya kumpigia kura Davido hahahaha gademu mburulazzz dead brain wamekufwa mazafantazzz akili ndogo NDIO MAANA NEVER IN MY LIFE KUJIHUSISHA NA akili ndogo nasema NEVER! hata kuwa follow siwezi cause NITAKUFWAZZ HAHA KAMA gademu WAO! - le Mutuz
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo umeandika nini. kweli akili zako kubwa za kujikomba kwa matajiri na kurudi majuu imekuwa wimbo utafikiri ni wewe mtz wa kwanza. mburulazz wa kwanza Le mutuz.

    ReplyDelete
  2. TUTAMPIGIA DAVINO, HATA USEME NINI. KAMA WEWE SIO KICHAA MBONA UNAJIPENDEKA KWA SHANGAZI ZARI KWANI NI MTANZANIA. KAOGE UNANUKA LE MBURURAZZ.

    ReplyDelete
  3. umekaa kama JIKE, kwa maneno ya kishambenga, majuu majuu, nani anaebabaika na majuu. mbona umerudi machini. bichwa kubwa wamejaa funza.

    ReplyDelete
  4. ndio tunampigia Davino. kinakuwasha nn. kajambe kuleeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. Le mutuz hajapewa mshahara mwezi huu na Dai, kaona aanze kumpigia kura kiaina. mwenzio Sinta kashatuliwa na kazi ya uyaya juu, wewe sijui utakuwa wouch men? au muosha magari ya mtoto.

    ReplyDelete
  6. utabakia kujikomba tuu kwenye office za watu, na taarabu zako.

    ReplyDelete
  7. Mpumbavu ni mpumavu tu hata ukiwana akili kubwa

    ReplyDelete
  8. It's your super dream one day kuwa na hea???umri huo bado una dream ?umri wa kuritaya u stupid ass,kazi kupiga picha na vibinti ukifikiri bado mtoto,wewe si umri wa kikwete?

    ReplyDelete
  9. katika mambululaz we LEMUTUZ sjawahi kuona kama wewe unajisifia ila unayoyafanya ur STUPID
    Nliwahi kukutana sehemu JNA ndo nlijua wewe MWILI umejaa FUNZA huo .......YAaaan starehe yako kupiga picha na wanawake DUUU!! Uli skip ujana UMRI HUO na mambo unayoyafanya ni vitu tofauti!!!!!
    PILI Mimi ni form two failure Lakini the way unavyoandika na unajisifu UMESOMA ni vitu viwili tofautot
    labda ulibebwa na baba wa CCM ukapewa vyet tuuu ila hubebeki!!!!

    Hata kwa hao wakubwa unaojipendekeza kwao wanakaaa nawewe wanavumilia kwa heshima ya MZEE wako tuuu......

    Hamna kila kitu ....... frozzen......

    ReplyDelete
  10. A hoe, looking for a rich man.

    ReplyDelete
  11. asanteni kwa kunikumbusha leo kumpigia kura DAIMOND mbarikiwe sana, total vote kwa siku ni 20 kwa category moja nami na-vote zote kwa category zote

    ReplyDelete

Top Post Ad