Kiwete’s Latest tweet… Does it Have Anything To do With Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


While everyone is talking about Hon. Edward Lowassa and UKAWA right now, the is one of the more recent tweets from the President of Tanzania Hon. Dr. Jakaya Kiwete. I’m just wondering if it has anything to do with the Lowassa-UKAWA issue.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaaa umenena rais. Kuchamba kwingi huondoka na maviiiii. October ileerre

    ReplyDelete
  2. Hii yote ni trailer movie kamili October. Nywele baada ya kuwa asumini za kikwajuni sasa kichwa kitakuwa km Sahara dessert

    ReplyDelete
  3. Uzushi mtupu. Tweet hii si mpya.

    ReplyDelete
  4. Tell us more Mr. President....

    ReplyDelete
  5. Mavi debe Mr. President. Mlio iba mali za umma mkae chonjo....Tweet zenu hazituumizi kichwa

    ReplyDelete
  6. Na ndo maana mliogopa kumpa uongozi sababu angewaweka wote ndani wezi wakubwa ccm na nyie msubiri mshangazwe October ndo mtajua maana ya VISASI

    ReplyDelete
  7. na mkae mkijua asilimia kubwa ya vijana kuanzia 18-35 hawaikubali ccm wa kike na kiume,na ndio wapiga kura wengi,na kula za kina mama na kina baba tutagawana,sijui mtatokea wapi nyie majambzi wa ccm,msije mkafikiri itakuwa raisi kuiba kura tutakaba kila idara.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sisi ni majambazi waccm lakini tukija ukawa tuna pigwa na omo kari tunatakata hao vijana nitoe mimi pia ujue niwa mjini tu not vijijini

      Delete
    2. HIZO NI TAKWIMU ZA WANYWA MBEGE,ACHA TUME IFANYE KAZI YAKE

      Delete
  8. hata lowas mwizi vilevile kwa pesa gani alizo nazo mpka akanunua majumba south Africa,,,, na bado biashara ya utumwa itarudi Tanzania soon, ngoja lowasa aingie madarakani mtaona kama atakuja kijijini kwenu awape mtaji ndugu ako ambao hata kuandika hawajui,,,,, siasa mchezo mchafu Lowasa hafai kuwa raisi na Chadema sio chama imara kwanini mshindwe kusimamisha mgombe mpaka mumpe lowasaa gwanda lenu narudisha na kura yangu Nampa Jembe magufuliiiii habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  9. Octaber ije tu weme ni uleule, ccm ni ileile na watu ni walewaleeeeeeeeeee,,,,,,ukawa kuingia ikulu ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano,,,,,atapata kura za arusha tu huyo lowasa na wachaga wa kilimanajaro,,,,,HONGERA LOWASA RAISI WA KANDA YA KASKAINI

    ReplyDelete
    Replies
    1. lowasa ana wadhamini weeengi mikoa mingine kuliko kaskazini!nakushangaa na post yako, embu tafuta post za safari ya matumaini.

      ETI WEMBE NI ULE ULE!MFYUUUUUUUUUUU! NA UTAKUKATA MPAKA UKOME,MSHAMBA WEWE.

      Delete
    2. si wote wromzanmin wanamuunga mkono kwenda chadema

      Delete
    3. LOWASA NA WAKASKAZI WAKE WOTE NI MBURURAAA,WATAISOMA NAMBA MWAKA HUU

      Delete
  10. JK umeanza kuwa muoga sana na ccm yako.mlikuwa hamjui kuwa Lowassa atawajambisha au mlitest kuona namna jamaa alivyo.byebye CCM lowasa kawakalisha wote wew na hao kina nape.tako kabisa ccm hamna tena chenu

    ReplyDelete
  11. matusi na maneno mengi hayana maana kwani mwisho wa mzizi wa fitna ni october 25 tunzeni hasira zote na maneno yote yasubiri uamuzi wa mwisho lowasa nor magufuli wote watanzania nasi wote watanzania so tusubirini.

    ReplyDelete
  12. mmmmh ikulu kuna siri kubwa duuuuh kuna jambo hapa.

    ReplyDelete

Top Post Ad