Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo...'Mwezi Huu Nguo Fupi za Kuwatega Wanaume Nimeziweka Pembeni'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa bongo movies,  Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa  mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara  na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote  aliyowahi kufanya siku za nyuma.

Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda  alisema kwa mwezi  huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha  maungo yake  ya sehemu za siri bali atakuwa anajisitili ili kujiepusha na kitendo cha kuwaingiza majaribuni wanaume hasa walio kwenye mfungo na mpaka mwezi huu unaisha atakuwa amezoea kuvaa nguo hizo.

“Naweza kusenma kuwa mfungo wa mwezio Ramadhani umeniweka kando na skendo  hasa za kuvaa nguo fupi ambazo huwa zinawaingiza  kwenye mitego  wanaume wasio weza kujizuia wanapoona maungo ya wanawake  hasa waliovaa nguo zenye ushawishi,” alisema Amanda.

Aidha, Amamnda aliwataka hata wasanii wenzake  hasa wa kike kuheshimu kipindi hiki kwani  ni  cha kuvuna neema  kutoka kwa Mungu kutokana na kutibu madhambi  yote yaliyofanyika siku za nyuma  na ikiwezekana na wao uwe mwanzo  wa kubadilishwa huhusu kuachana  na skendo za kujitakia  hasa zile za kutengeneza ili waendelee kusomeka kwenye magazeti
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad