Mh. Lowassa Aongezewe Ulinzi Kumlinda na Kila uovu na Hila Ambao Utapelekea Asitimize Lengo Lake.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake kwani hawakawii kumfanyia kitendo cha kigaidi ili kutotimiza lengo lake la kuchukua nchi kutoka chama Tawala...

Ulinzi madhubuti na makini unatakiwa kutolewa na wana UKAWA na kila mtanzania mpenda maendeleo kwa kuwa Edo ndiye tumaini pekee kwa watanzania kujikomboa kutoka utumwa wa CCM.

Nitoe rai kwa uongozi wa UKAWA kumpa ulinzi wa ziada kiongozi huyu wa kitaifa na kimataifa ili kumlinda na kila uovu na hila
 Lowassa ndiye mboni pekee inayowapa nuru watanzania itakayowaangazia na hatimaye kuwawezesha kutoka msitu wa giza nene.

Tafakari, chukua hatua!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe mwandishi chakasi kabisa unamfanyia kampeni Edo kisa nini baina ya watanzania mamilioni wewe ndo una akili ya kutuchagulia Raisi, usituchagulie Raisi kwa njia za kipuuzi tunajua nani anatufaa

    ReplyDelete
  2. SAHIHI KABISA NA MIMI HUWA NAWAZA SANA KUWA HUYU MTU WETU ANAHITAJI SANA ULINZI SIO MCHANA WALA USIKU... KILA MTANZANIA MPENDA MAENDELEO ACHUKUE HATU STAHIKI YA KUTOA TAARIFA ZOZOTE ZA UVUNJIFU WA AMANI KWA KIONGOZI WETU

    ReplyDelete
  3. Hivi mondili kuna maendeleo hayo mnayotegemea atayaleta kwa watanzania? mbona bado hata maji kwao ni shida,barabara usiseme, kashindwa kwao ataweza Tanzania.

    ReplyDelete
  4. Ulinzi kwa mh lowassa ni jambo la msingi sana kila mpenda maendeleo ataliunga mkono jambo hilo,

    ReplyDelete
  5. Lets go edo lazima wakae safari hii

    ReplyDelete
  6. Oya admin mm Naomba namba yk ya watsap..kesho Hk uholanzi ni sikukuu ya mashoga nawasagaji hv Bac nipe no yk nikutumie mipicha ya Hao walaaniwa na mungu

    ReplyDelete
  7. Watanzania ni lazima muwe na akili ya kujiuliza hivi ni kwa nini Lowassa anausaka URAIS kwa bei yoyote ile? Kuweni makini si mzuri huyo ana sababu zake na hao wanao muunga mkono muwaangalie vizuri.
    Sababu zao siyo nzuri amukeni la sivyo mtalirudisha gharama zake na hao alionao kwa bei kubwa sana.
    KUNA KITU KIBAYA KINAKUJA NA NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YENU POLENI. MNAJUA ATAFANYA NINI ASIPOSHINDA URAISI???

    ReplyDelete
  8. we mwandish badili jina website iwe ukawa.com tujue moja au unajipendekeza upate naafasi

    ReplyDelete
  9. Ni kweli anahitaji ulinzi wa kutosha haswa...

    ReplyDelete
  10. Wote mnaojidanga na lowassa mnapoteza muda time will telll watanzania si wajinga km mnavyofikiria

    ReplyDelete

Top Post Ad