Mume wa Mtu Mbona Haniachi Jamani Miaka Sita Sasa Ameniganda Kama Ruba....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single, amekuwa akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingine nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaak leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje,

Nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini?

Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushamkula hela sasa unaropoka hku.lala na ndugu yake akufumanie

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMESHAMFILISI SAANA NA HUJAMPA FAIDA YOYOTE! MWAMBIE UKWELI KUWA UNATAKA KUOLEWA ILI UWE NA MAISHA YAKO NA MME KO.

      Delete
  2. Very bad. Hukujua ni mme wa mtu toka mwanzo? Umeshiba sasa watafuta single ndo unaomba ushauri. Very stupid woman. Na ulaaniwe huko uendako upate shida mpaka ukome.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwache, na yeye atakionja cha mtema kuni! Kuosha huoshwa!

      Delete
  3. olewa na wewe mumeo naye astarehe na michepuko khaa. wanawake ndio mnaongoza kwa umalaya, kwani ukiwa na msimamo wa kusema HELL NO utapungukiwa na nini. kumbuka yoote mapito mla vya wenzie na ataliwa vyake.

    ReplyDelete
  4. fikiria ndo wewe ungekuwa mke jalali Wa Wa Huyo jamaa,wanawake mnakandamizana wenyewe

    ReplyDelete
  5. fikiria ndo wewe ungekuwa mke jalali Wa Wa Huyo jamaa,wanawake mnakandamizana wenyewe

    ReplyDelete
  6. Mi niko single natokea tanga nimtefundishwa na mgiliki na wazee jinsi ya kucheza na uvungu tutafutane upate mume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watu watanga mme zidi sana kujivuna mpka mna boa, ameomba ushauri au kata mpz

      Delete
    2. WAtu wa Tanga kwa kujisifu kuwa wanajua mapenzi bwana. ndio maana hata usho*** upo sana huko. pole ila hayo ni masifa ya kijinga tu.

      Delete
  7. SIpendi jinsi blog ilivyokaa kaa ruudisha muuondo wa zamani bwana mara mapicha mara nini khaa

    ReplyDelete
  8. Kweli imekuwa na muonekano tofauti hadi me inaniboa

    ReplyDelete
  9. Acha kumpa tigo ataondoka

    ReplyDelete
  10. Mtu kaomba ushauri sikia dada kama mwanaume huyo ni miuislam funga nae ndoa na kama ni mkiristo funga nae ndoa ya maha kamani u sim ache sababu kama miaka 6 tayari why not miaka 10 we ishi nae zaa watoto kama kawaida mume wa peke yako utamtoa wapi

    ReplyDelete
  11. Kwan mlivyoanza kudate uliomba ushaur asaiv kashakufanya weeeeee huna maana tena ndo unajishaua unaomba ushaur mm ushaur Wang mtafute mke wake umuombe msamaha aaf uachane nae kabusaaaaaaa

    ReplyDelete
  12. Hat mimi nisingekuacha kwa jinsi ulivyo.

    ReplyDelete
  13. Amesha kuzeesha huyo! akajitambulishe kwenu awe mume wako wa halali! hata kwa wakristo wakati mwingine inatokea mnakuwa wawili! mke mkubwa ataelewa somo tu, ila usiwe na kiburi mbele zake.. maana nyie ma bi mdogo ni kaazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  14. Ukristo hauna ukewenza nyie washauri muangalie ushauri wennu

    ReplyDelete
  15. UTAPATA WAPI MWENYE ATAKUPENDA? KAMA ULIJUA ALIKUWA NA MKE MBONA UKAWA NAE HUO MUDA WOTE?

    ReplyDelete
  16. Au uloshampa kinyume na maumbile

    ReplyDelete
  17. Na wewe tafuta mchepuko - mumeo

    ReplyDelete

Top Post Ad