Pipi Adai yeye na Mume wake Hutumia Simu Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji wa Bongo Flava, Pipi amedai kuwa yeye na mume wake hutumia simu moja.

Pipi alikuwa akiongea na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

“Unajua kama mtu sio mwaminifu katika ndoa yako hiyo ndio itakuwa tabu na mtu akiamua kucheat anaweza hata bila simu japo watu wengine wanaona ni wivu lakini hiyo ni misingi ambayo tumejiwekea tokea tulivyoana,” alisema.

“Mimi na mume wangu tuna miaka kumi sasa hivi maana tokea tulivyokuwa hatujafunga ndoa hadi sasa hivi ni miaka kumi inafika. Mimi na mume wangu tuna misingi mizuri ya uaminifu, na wala hatuna mambo mengi kwa hiyo hatuna sababu ya kufichana, kwangu mimi naona ni kawaida tu hata yeye,” aliongeza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pipj piga kimya my dear wala usi seme kuwana msingi mzuri kua miaka 10 kwenue uhusiano sio issue anaweza ku cheat bila wewe kujua so just pray only mungu awanusuru ktk michepuko ya ndoaaana naongea kwa experience wapo walikaa na kuathimisha miaka 50 yandoa ila alikuja kuletewa watoto nje ya ndoa kadhaa alikufa kwa Stroke.

    ReplyDelete
  2. Kivumbi siku mume akifariki. Wanajitokezaga watoto wa umri mbalimbali na kwa ma mama tofauti. Kaa kimya weweeee. Miaka kumi is nothing....

    ReplyDelete

Top Post Ad