Uchawi Wa Naigeria Ndio Siri Ya Mafanikio ya Mwanamuziki Diamond...Lakini Sio Uwezo Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na hii Mahali nikaona sio mbaya kushare na ninyi Wadau wangu ..Nanyi mtoe Mtazamo ..

Katika Bara La Afrika.Nigeria Ndo Nje Inayoongoza Kwa Uchawi Na Vitendo Vya Kishirikina.
Wasanii Wakubwa, Wafanybiashara, Wacheza Filamu, Watumishi Wa Mungu, Wanasiasa, Watu Maarufu Nchini Nigeria Achilia Mbali Wananchi Wa Kawaida Wengi Wao Ni Waumini Wa Imani Za Kishetani Na Washirikina Wakubwa.

Mafanikio Ya Ghafla Ya Chibu Na Mlolongo Wa Tuzo.Zinatokana Na Kujihusisha Katika Imani Hizi Za Kinageria.Safari Nyingi Za Chibu Za Kwenda Naigeria Na Kurudi Zinahusisha Pia Kupata Nafasi Ya Kushiriki Katika Ibada Zao Na Kwa Ajili Ya Kutoa Sadaka Na Kufanya Matambiko.

Collabo Nyingi Za Domo Anazoforce Kufanya Na Wanigeria Ni Ktk Muendelezo Wake Wa Kua Karibu Na Wanamuziki Maarufu Ambao Nao Ni Waumini Wa Imani Hizi Za Kichawi.

Inasemekana Hata Utajiri Alionao Mkewe Mtarajiwa Zari(thebosslady) Chimbuko Lake Ni Uko Uko.Siri Ya Pete Ya Dhahabu Anayoivaa Domo Mkono Wake Wa Kushoto Ambayo Wengi Wanadhani Ni Pete Ya Uchumba.Lakini Ukweli Ni Kua Ni Pete Aliyoipata Nchini Nigeria.Na Inabeba Siri Kubwa Ya Mafanikio Yake.

Je kuna Ukweli wowote Juu ya Hii Habari?

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni mawazo potofu juhudi zake ndo zimemfikisha hapo alipo

    ReplyDelete
  2. We muandishi Utakuwa mchawi..wabongo bwana hampendi kuona wenzenu wakifanikiwa..shame on u with ua article

    ReplyDelete
  3. Acha fitna hizo andika ya kwako kwanza

    ReplyDelete
  4. Na wewe nenda ili ufanikiwe

    ReplyDelete
  5. Wewe mwenyewe ni mshirikina hadi unakaa na kuwaza hivyo na wewe unayafanya ayo mambo sema ujapata mafanikio tu

    ReplyDelete
  6. YANA MWISHO. HAYO

    ReplyDelete
  7. atajijua mwenyewew, hayatuhusuu

    ReplyDelete
  8. mbona siku hizi “NO COMMENTS” watu wanaogopa ?

    ReplyDelete
  9. Wasenge nyie! Mmeishiwa story nn??

    ReplyDelete
  10. wabongo bwana mtu nyota ising`ae uchawi mlitaka mfanikiwe nyie achene roho mbaya zenu na don`t judge Mungu ndo anamamlaka ya Ku judge pekee.

    ReplyDelete
  11. ACHANI IMANI MBOVU MBOVU WEWE!!! MTOTO ANAJITUMA. NDIO SHIDA YETU WATANZANIA. TUKO WAVUVI SAANA MTU AKICHITUMA SANA MCHAWI KHAA ACHANI HIZO!!!

    ReplyDelete
  12. JEALOUS ZENU TU!!!

    ReplyDelete
  13. WIVU WENU TU.

    ReplyDelete
  14. JAMANI WATANZANIA TUACHE IMANI ZA KISHIRIKINA. KILA MAFANIKIO YA MTU MNADAI USHIRIKINA KWA HIYO WATU WASIFANIKIWE???????

    ReplyDelete
  15. DIAMOND USIOGOPE NI MBINU ZA KUKUVUNJA MOYO ACHANA NAZO WEWE KAZA BUTI !! TUPO NYUMA YAKO KWA SAANA TU. ITANGAZE VEMA TANZANIA. WENYE WIVU WAJINYONGEEEEE!!!

    ReplyDelete
  16. jmn hwz kpst k2 bl kumjaj m2 aaaaaaah tanzania badilikeni

    ReplyDelete

Top Post Ad