Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wastara na Bond Mapenzini
Brighton Masalu

WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.

Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba ataishi bila kuwa na mume kwa kuwa amekamilika kimaumbile.
Wastara na Bond Katika Pozi

“Mimi ni mwanamke, nimekamilika tena nakula na ninashiba. Damu bado changa. Nikisema siwezi kuolewa, nitakuwa nadanganya. Nimekaa muda mrefu kwa sababu kila mwanaume anayenihitaji ananitamani tu.

“Bond namuona ni mwelewa. Lakini nimempa sharti la kutonigusa hadi siku ya ndoa. Kama atakidhi na hayo mengine ambayo ni siri yetu, niko tayari kuolewa naye,” alisema Wastara.
GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda aache kusuka nywele na kuvaa mabangili kama demu!

    ReplyDelete
  2. Sawa muheshimiwa mbunge mtarajiwa wa Morogoro vijijini.Kweli bongo kasheshe kila mtu mbioni kuwa mbunge hii inaonyesha wazi kuwa huko ubungeni ni madili ya kuiba pesa tu na hakuna cha kuijenga nchi ya Tanzania inavyotakiwa pamoja na wananchi wake(nisemapo wananchi wake namaanisha sisi tuliopo chini wenye matatizo ya maisha ajira shule madawa lishe nk.)

    ReplyDelete
  3. Usishangae ndugu sikuhizi ubunge movie na flava kwaiyo wasanii wanaiongezea bongo tu kwa nyuma

    ReplyDelete

Top Post Ad