Wema Sepetu Apigwa CHINI kwenye Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii  wa  Filamu  za  kibongo  anayeongoza  kwa  urembo  ndani  ya  tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo. 

Mgawanyo wa kura ulikuwa  hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
  

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi. Akauze picha za uchi wake kwenye magazeti. Bungeni wanatakiwa watu wa kazi Kama ester bulaya. Siyo screen show Kama wema sepetu. Na ningeshangaa Sana iwaapo angepita.

    ReplyDelete
  2. mbona siku hizi “NO COMMENTS” watu wanaogopa ?

    ReplyDelete
  3. Safi sana, hawezi hata kuongoza sisimizi

    ReplyDelete
  4. safi sana, hawezi hata kuuongoza sisimizi

    ReplyDelete
  5. usiuzunike Wema umejaribu, na unapawa ya kufanya kingine.

    ReplyDelete
  6. Wema ni mwanamke jasiri, hakuna liloharibika, fatufa kazi nyingine mpz.

    ReplyDelete
  7. Hongera Wema wewe ni jasiri umejaribu umeweza ndiyo kwaaanza unaanza si mkongwe wewe na umethubutu

    ReplyDelete
  8. Dada siasa hazirisishwi. Mbona umekuwa mwigizaji umerith kwa nani. Mama yako hatujawah kumwona akiigiza. Piga pesa kwa kipaji chako cha kuuza sura. Bungeni hakukufai, utalifanya bunge liwe udaku wa sepetu. Na hivyo unavyopenda pesa za wanaume, utawafanya wabunge washindwe kufanya kazi. Wanaotakiwa bungeni Ni wapiganaji Kama ester bulaya. Tunapenda kuona mapaja yako kwenye runinga. Mavazi ya bungeni yatakushinda. Kauzeeeeeee udakuuuu wako. Pole Sana. Wrong choice

    ReplyDelete
  9. hafai hafai anavyotuharibia dada sasa wanavyo muiga nakumuunga mkono nakumsifu iakiingia bungeni siitakuabalaa itakuwa wadada wotewatembea uchi

    ReplyDelete
  10. Aanzie kujiongoza kwa kuvaa chupi. Kutoa uroda bure au kukopesha. Kuheshimu ndoa za watu. Kuheshimu mahusiano ya watu na kujikoroga kama jini mahaba. Ku act hajui kiswahili wakati ana matusi kuliko figa eit, Ulevi usio na kiwango.Alitaka kwenda bungeni kutafuta nini? Nasikia kadinda alisha design chupi za kijani na njano ili bibie akauze mbwabwa yake Dodoma. Hahahaha Who says news papers do not write good news. Wema kubali yaishe. ahahahahahahahah. Mange Kimavi jiandae kupigwa chini Kinondoni.

    ReplyDelete

Top Post Ad