Hutaamini Alikokuwa Akiishi Nuh Mziwanda Kabla ya Kuhamia Kwa Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nuh Mziwanda alikuwa akiishi kwenye studio ya muziki kabla ya kuhamia kwa mpenzi wake Shilole.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa awali hakuwa na makazi maalum mpaka alipohamia kwa Shishi.

Nilikuwa nalala studio, nashinda studio tu. Zamani makazi yangu yalikuwa studio, nilikuwa producer studio moja hivi Ilala, so siku niliyoenda kwa Shilole nilienda na begi tu,” alisema.

Kwa upande mwingine Nuh alidai kuwa maisha ya vituko wanayoishi na mpenzi wake wameyachagua.

Bongo5
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAPA NENO MPUMBAFUUUU NDIO LINASTAHI,KWAHIYO WEWE UNAOSIFA KUITWA MARIO?

    ReplyDelete
  2. P n Mav,hapa ni SIASA kwa sasa kwenda zako huko.

    ReplyDelete
  3. kakupenda ulivyo, ndoo umuheshimu, siyo upate na kumkimbia

    ReplyDelete
  4. Mzee wa Bustani alitaka kuhama ua jingine lakini kaabika

    ReplyDelete
  5. Kila mtu ana story yake na maamuzi yake maishani. Sioni tatizo hapo

    ReplyDelete

Top Post Ad