Kama Kipimo Cha Ushindi ni Idadi ya Watu, Lowassa Ndiye Rais Wetu!. CCM Chali!, Imeshindwa Vibaya!.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanabodi,

nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, Kama Kipimo Cha Ushindi ni Idadi ya Watu, then, Lowassa Ndiye Rais Wetu!. Kwa upande huu wa idadi ya watu wa leo, nikilinganisha na idadi ya watu siku ya ufunguzi wa Mkutano wa CCM, then, CCM imepigwa chini, imeangushwa Chali!, Imeshindwa Vibaya!.

Hii inamaanisha, kama umati huu wote wamejiandikisha, na wote watajitokeza kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi, hata CCM waibe vipi kura, kwa kuitumia NEC, kura hazitatosha, mshindi wa uchaguzi huu bado atakuwa ni Edward Lowassa!.

Lakini kama ni kweli, hawa wenye boda boda, bajaj na umati uliojitokeza wamehongwa pesa ili kuleta tuu ujazo wa wingi wa watu, lakini hawajajiandikisha kupiga kura na sii wapiga kura, then hakuna ubishi, mshindi ataendelea kuwa ni CCM!.

Pasco wa jf, sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, au mgombea yoyote, bali ni mkereketwa wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, ambaye anaamini kwenye ukweli na uwazi!.

Pasco
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama idadi ya watu ndio kuingia ikulu basi ccm chali ila kama ikulu raisi anaingia kwa kura basi tusubiri October 26.

    ReplyDelete
  2. Tumejipanga UKAWA na tunejiandika mara mbili ili tupige kura Double.

    ReplyDelete
  3. Hizo sura hizo zilizo shika hilo bango hata kujiandikisha hawajajiandikisha,,, nawajua vizuri

    ReplyDelete
  4. Wacha fitina wewe siasa za kizamani unataka demokrasia na wala huijui maana yake nikutaka machafuko usishabikie kitu na kuwapotezea malengo ya demokrasi nyomi sio hukumu ya uchaguzi sasa wewe unatoa hukumu kabla ya uchaguzi na akishindwa ki halali lowassa siatanza kulia kaibiwa kutokana na ushabiki wako halafu sisi walalahoi tuanze kukatana mapanga wenyewe kwa wenyewe kama kajaza watu usiseme ndo matokeo ya uchaguzi hio nyomi yako wapi na wapi na uchaguzi

    ReplyDelete
  5. Sasa hilo ndo goli la mkono wana ukawa kama mlikuwa hamjui leo jueni kuwa mshafungwa tayari.

    Ufunguzi wa kampeni mmewajibu CCM tuu na kueleza aina za magonjwa tu na mabadiliko-Lowassaaa, Lowassa-mabadilikoooo, peoples-power

    Wangapi wana muda wa kusoma sera zenu kwenye tovuti?? looh imekula kwenuuu

    ReplyDelete
  6. Ni vigumu kuisimamisha nguvu ya UMMA. PIPOZ PAWA! HATA MAGUFULI ALIJISAHAU AKASEMA PIPOZ PAWA katika hotuba YAKE. Nafikiri anakubaliana na sera za ukawa sasa na huenda akaipigia KURA ukawa

    ReplyDelete
  7. Hawana mpya hao wamejaza vijana kati ya miaka 16 mpaka 30 ambao wako kishabiki kama timu ya simba na yanga vile,,,,!ugonjwa wa mtu hautuhusu kwenda marekani kutibiwa haijalishi,,,,, tangaza sera tukupigie kura.

    ReplyDelete
  8. Mashabiki niue wa UKIWA mpo wamepata nini cha maana na kama sera wanasema zisomwe kwenye tovuti na ndio watetezi wa bodaboda mama ntilie ya nini kuwatoa jasho wapiga kura kuja uwanjani mwaka huu Chadema usanii mtupu wanategemea pesa kuwaingiza ikulu ndo maana wanaleta dharau hawafanyi kampeni za maana za kuuza sera watu wajue kweli inakidhi matakwa ya walalahoi ni upuuzi mtupu

    ReplyDelete
  9. We ndio nyoko kweli mimi hapa nssoma Sera zao na maelfu nyuma yangu leta comment ya maana hapa kenge were na wenzako Wa ccm hajui lolote kwasababu mmefungiwa kamba ya ulenda Wa bamia dhingoni mwenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alaaa tumeshakuelewa wewe nani Kidoo tulikuwa tunakushangaa mbona ni mtu wa kuropoka ropoka kama umekula kinyesi baada ya kuandika hapo juu ulenda wa bamia dhingoni mwenu mara moja tukajua kumbe wewe sio mtanzania ni kikuyu boys unataka kuleta ghasia tafadhali usituletee usenge wako tafuta basha akushughulijie

      Delete
  10. Jamani eleweni kuwa watu wanakusanyika kuja kusikiliza sera. hapo ina maana wapo watu mchanganyiko, ACT wapo, CCM wapo, na vyama vingine wapo, na hata wasiokuwa wafuasi wa vyama pia wapo. kujaza watu sio ticket ya kushinda uchaguzi. wahenga walisema ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.Ila CHADEMA wamebugi sana, kwa uwingi huo wa watu ilitakiwa wamwage sera za kufa mtu, wajinadi vya kutosha, ila hakuna cha maana walichozungumza, hakuna mashiko ya hoja zaidi ya vijembe, saizi sio wakati wakuwasema CCM ni wakati wa kutetea sera zenu mtaifanyia nini TAIFA ACHENI VIJIMBE . acheni ushabiki sikilizeni SERA.

    ReplyDelete
  11. Jamani eleweni kuwa watu wanakusanyika kuja kusikiliza sera. hapo ina maana wapo watu mchanganyiko, ACT wapo, CCM wapo, na vyama vingine wapo, na hata wasiokuwa wafuasi wa vyama pia wapo. kujaza watu sio ticket ya kushinda uchaguzi. wahenga walisema ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.Ila CHADEMA wamebugi sana, kwa uwingi huo wa watu ilitakiwa wamwage sera za kufa mtu, wajinadi vya kutosha, ila hakuna cha maana walichozungumza, hakuna mashiko ya hoja zaidi ya vijembe, saizi sio wakati wakuwasema CCM ni wakati wa kutetea sera zenu mtaifanyia nini TAIFA ACHENI VIJIMBE . acheni ushabiki sikilizeni SERA.

    ReplyDelete
  12. Pamoja na hayo ukumbuke kuwa hao ukawa n zaidi ya vyama vitatu pamoja na kusema watu walikuwa wengi ila kumbuka CCM kilikuwa n chama kimoja tu. It means CCM wapo juu

    ReplyDelete
  13. Watu wangekua wachache mgesema ukawa yafunikwa na ccm , Watu wamekua wengi zaidi ya ccm mnasema ukawa wamechemka, mtabakia hivyox2 ndo maana mawaziri wenu wanaenda sokoni kununua mboga yake na watoto wake kwa 10mil huku wewe ukihangaika kupata chips dume halafu unasema ccm hoyeeeee , Mimi ni
    Mbongo lakini kuna wabongo wenzangu duh!

    ReplyDelete
  14. KAMA CCM WANAANZA KUSEMA LOWASA NI FISADI WAKINATIBAIJUKA NGELEJA CHENGE NA AKINA MRAMBA NI WATAKATIFU WA CCM?JEE WANAOPIGWA PESA WASISEME MABAYA YAO WANAFIKIRI TUMELALA?TUNAYAJUASAAAANA HATUYAONGEEI TUTASEMEA KWENYE SANDUKU LA KURA NA MWAKA HUU LABDA MKAWAIBIE BIBI ZENU.

    ReplyDelete
  15. MABADILIKOOOO MWAKA 2015

    ReplyDelete

Top Post Ad