Utabiri wa TB Joshua Uko Palepale Uchaguzi 2015

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa? Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi Lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA ...Yakawafika Hapaaaaaa.........!!!
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli Mungu ndio ametuletea loawassa hatakama mamluki hawataki kamwe alilokusufia Mungu halibadiliki

    ReplyDelete
  2. Nafasi ya urais ni nzuri kama utajali wananchi,mnaohama ccm mmeongoza sana.mkitoka mnasema rushwa,rushwa.mmetoa mamiliyoni ktk vyama vipya. Mkiwa ccm mbona hamkutoa kabisa hiyo rushwa?Je mawaziri wakuu mnapokikana chama mbona hamkani utajiri mlioupata kinyemera?je mnaendelea kufaidi ppf zenu kama mawaziri wakuu?
    Tuwapongeze Prof Lipunba,Dr Slaa kwa kuona mbali. Dumisheni umoja wa nchi yenu msije mkamaliza watanganyika mliowafanya masikini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. CHUKUWA TANO. SIJUI WAITWA NANI, NIMEIPENDA COMMENT YAKO. ALL THE BEST

      Delete
  3. Msituaminishe Mataifa ....hakuna Binaadamu Mtabiri

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtajiju ccM mwaka huu,hapatoshi LOWASAAAAAAA yuleeeeeeeeeeeeeee-ndo Raissssssssssssssss tzzzzzzzzzzzzzzzzzz

      Delete
  4. lowasa raisi tuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. malofa ndo maamzi trh hiyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad