Zari The Bosslady Awajibu Ivan na King Lawrenc, ‘Visasi Hufanywa na Vilaza’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Zari The Bosslady ameamua kumjibu ex wake Ivan na swahiba wake King Lawrenc ambao wamekuwa wakimtupia madongo kuwa mtoto wake Tiffah si wa Diamond, ni wao.

King Lawrence alienda mbali zaidi kwa kutumia kampuni ya wanasheria kumtaka achukue vipimo vya DNA vya kichanga hicho chenye zaidi ya followers 80k kwenye Instagram.

Zari ametumia Instagram kuwajibu kwa kudai kuwa wanachofanya wawili hao ni visasi ambavyo anaamini hufanywa na vilaza!

Visasi hufanywa na vilaza,” ameandika Zari kwenye Instagram.

BO$$LADY anafahamu kuwa huzuni aliyonayo mtu mwenye chuki wakati akiangalia furaha na mafanikio yake ni adhabu tosha. Inabidi niyageuzie mgongo mambo yate ya kijinga yanayoendelea. Naendelea kuwaua kwasababu watu hutaka kuzima taa inayowaka zaidi kwao,” ameongeza.

Diamond tayari ametoa majibu yake kufuatia hatua hiyo ya Ivan na Lawrenc.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sawa kabisa hao nivilaza tu,lea mtt wako kwa amani.

    ReplyDelete
  2. hatua gani alopiga Zari? ya kubadilisha wanaume kama mboga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haihusu shoga fanya yako....

      Delete
  3. kweli kapiga hatua mpaka watoto wake 3 kashawasahu ug.

    ReplyDelete
  4. Shangazi anasubiri anachokitaka kwa dai, akisha pata atarudi kwa rich gang.

    ReplyDelete
  5. Safi saaaaana vilaza hao awana mpya

    ReplyDelete
  6. akapime tu hiyo DNA ili kuondoa maswali mengi

    ReplyDelete
  7. ndiyo akapime, atutaki longolongo

    ReplyDelete
  8. HANA SABABU YA KUPIMA. ZARI BIG UP KAZA BUTI KAMA NIMEWEZA KUWADHIBITI TANGU MIMBA HAMTASHINDWA SASA. DIAMOND HONGERA SAANA. MTUNZI VIZURI BINTIO NA MAMAYE!!!!

    ReplyDelete
  9. utaki longolongo mtoto ni wako?wakokwako ulishampimaga?,zari uko sawa wivu unawasumbua

    ReplyDelete
  10. sioni sababu ya kupima DNA. kwani zari kama angetaka kuzaa na ivan angezaa naye tu. angalia mtoto wake wa mwisho ana umri gani?? zari kuwa ngaringari kama ulivyokuwa wakati wa mimba walisema mengi sana ukawashinda na hata sasa utawashinda. !! big up mama tiffah na baba tiffah. wana wivu haooooooooooooooo!!

    ReplyDelete
  11. akapime kwajiligani?zari hachananao wa vimba macho wivu tu unawasumbua ,kula bata na baby dai pamoja na tiffah,hayo ni majungu tu kunasiku yatahisha.

    ReplyDelete
  12. Akapime DNA kelele ziishe

    ReplyDelete
  13. Kwanini anakuwa mkali akisikia DNA? kama anauhakika kwa nini una panic mwizi wewe peleka damu ya waganda kule leave our Daimond alone ni mdogo sana atapata watoto tu Mungu yupo.

    ReplyDelete
  14. Namshangaa huyu mama kwa nini anagoma kupima hiyo DNA? amka dogo kuna namna hapo usiogope aibu , aibu atakuwa nayo mwanamke wewe bado mdogo sana utapata watoto mpaka uwasahau majina.

    ReplyDelete
  15. Jaman siku zote mama ndo anajua baba wa mtoto. So Zari wapotezee

    ReplyDelete

Top Post Ad