Diamond na Zari Wapishana Katika Hili Kuhusiana Binti yao Tiffah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mara nyingi wazazi hutofautiana katika mambo madogo kuhusu mtoto wao hasa katika upande wa nguo wanazopendelea avae! Diamond na Zari wanakutana na hali hiyo pia.

Kwa mujibu wa Zari, Diamond anapenda kumuona mwanae akivaa nguo za muonekano wa kiume na Zari akiwa na ladha tofauti.


Zari amepost picha ya mwanae huyo na kuandika: My sweet potato….. Her dad loves seeing her looking boyish, mama loves her all dolled up in pink with ribbons. Blame this look on dad… she got a signature lip pause too, my lil diva in the making @princess_tiffah.”

Jumapili wazazi hao wataionesha sura ya Tiffah kwa mara ya kwanza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. utafikiri wao ndo wakwanza kuzaa duniani, ujinga mzigo.

    ReplyDelete
  2. huyo Zari anajifanya hajazaa watoto 3. wa kubambikiwa ndo limekuwa tangazo kila cku?

    ReplyDelete
  3. WAENDELEE KUMFICHA SURA. HATUNA TIME NA KIKI ZA KWAMTOGOLE,

    ReplyDelete
  4. Du! huyu mama kizee kawasahau watoto wake kwa ajili ya state ya tandale, awaulize walotangulia

    ReplyDelete
  5. Ulimbukeni huu
    Wanajifanya mastaa
    Makosa ya jk kumpandisha chati huyu mtoto wa tandale
    Kiboko yake ujerumani tuu
    Haendi tena

    ReplyDelete
  6. Sasa hayo yantuhusu nn wamvalishe hat rambo siwakwao mxuuuuuuu utadhan ndo wakwanza kuzaliwa bwana mnakeraaaaa

    ReplyDelete
  7. Kibiashara zaidi

    ReplyDelete
  8. WIVU WENU TU !!!!

    ReplyDelete
  9. Jelous.... Jelous.... Jelous

    ReplyDelete

Top Post Ad