JB Aanza Kupata Changamoto za Kisiasa Katika Kazi zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkongwe wa filamu Jacob Stephan maarufu kama JB ameanza kuathiriwa na vuguvugu za kisiasa katika kazi zake za filamu.

JB ambaye amekuwa akionekana katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi, amejikuta katika wakati mgumu kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupokea matusi na kejeli alipotangaza ujio wa kazi mpya marehemu Adam Kuambiana ambaye anadaiwa alikuwa Chadema.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram JB ameandika:

Narudia tena siasa sio vita…marehemu Adam alikuwa Chadema kuliko wengi wenu, mpaka alikuwa campaign manager wa mkewe Janet kule Kawe kwenye udiwani, mbona tulikuwa tunashirikiana? Wasani mbona wengine wako UKAWA lakini bado ni marafiki, nina ndugu ambao wako UKAWA na nyinyi pia mna ndugu wako CCM mnagombana nao? hamshirikiani nao ? au mme ona sinema zetu tu…vitu vyote mnavyo nunua madukani vimetengenezwa na ukawa? acheni siasa za kijinga. sitaki utoto nikitangaza kazi zangu…kama hupendi piga kimya.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kamtangazie dhetani hizo kazi zako acha utukanwe kabisa nyie wasanii hamuangalii taiga mnangalia matumbo yenu nyoko nyie

    ReplyDelete
  2. Hizo barabara mnazopita zimejengwa na ukawa?? Tusiwaone uwanja wa taifa, mwisho wenu leo, wote muende Billcanas kwa mbowe wa ukawa....mnamahasira, hivi mkipewa nchi si mtachinjachinja nyie, na visasi mlivyonavyo........MTAISOMA NAMBA..........

    ReplyDelete
  3. uzeni kazi zenu kwa mafisiccm. kazi kujali matumbo badala ya taifa

    watanzania hatuhitaji tena chama kilicholea/kukuza/kulinda/ na kutunza 1.ujinga 2.umaskini 3.magonjwa 4.ufisadi 5. mizaha 6 dharau 7 utani 8 kulindana 9 kudharau maoni ya wananchi ktk rasimu 10 unyanyasaji. HUU NI MWAKA WA KUONYESHA WATAWALA NGUVU YA KURA NA WAELEWE WENYE SAUTI NI WANANCHI. NI MWAKA UTAKKAOANDIKA HISTORY MPYA KTK KUTHAMINI KURA NA UTU WA MTU. JUZI WAKAPITISHA SHERIA YA GES NA MAFUTA KWA KIBURI ...JUZI WAKATUELEZA TUNAANZA KUFAIDI GES SASA UMEME UTAKUWA WA KUDUMU BADAE ETI BWAWA HALINA MAJI UJINGA KABISA.....SERIKALI YA MAFISICCM NI RUSHWA NA WIZI TU DAWA HAKUNA ETI MABILIONI YA KUPAMBANA NA UKAWA YAPO? INANIKERA SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad