Magufuli: Watanzania Wamekata Tamaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli. Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.


Ninajua Watanzania wanataka mabadiliko ambayo ni M4C yaani ‘Magufuli for Change’ na kwa lugha ya kawaida ni Magufuli kwa mabadiliko tena ya kweli,” alisema Dk. Magufuli.
Akizungumza namna atakavyoubadili mji wa Iringa, alisema anajua changamoto zilizopo katika mkoa huo, ikiwamo kero ya barabara hasa za ndani.
“Ninawashangaa watu wanasema eti CCM haijafanya kitu na wengine ni hapa hapa Iringa mjini tena mchungaji wa kondoo wa Mungu ambaye anazijua amri kumi za Mungu ikiwemo ya kutosema uongo.
“Tena amekuwa akitukana ovyo ndani na nje ya Bunge nataka kuwaambia mawaziri nao ni binadamu wana nyongo…nataka kuwauliza ikiwa kila siku unamtukana waziri hivi kweli anaweza kukupa fedha za maendeleo, nichagueni mimi na wabunge wa CCM,” alisema.
Alisema anahitaji ushindi wa asilimia 99 ili wapinzani waisome namba kupitia masanduku ya kura.

Mchagueni Magufuli haya yote ana weza
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hehe kumbe CCM huwa hamtai pesa za maendeleo kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani
    Kwani pesa hizi in za CCM
    Tumejuwa Asante sana magufuli kutueleza
    Kura zetu hatuwapi NGO
    Kura zote Lowassa na ukawa
    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. Hehe kumbe CCM huwa hamtai pesa za maendeleo kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani
    Kwani pesa hizi in za CCM
    Tumejuwa Asante sana magufuli kutueleza
    Kura zetu hatuwapi NGO
    Kura zote Lowassa na ukawa
    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  3. CCM wamemtwisha zigo zito Magufuli hadi anatia huruma!

    ReplyDelete
  4. Umeona mdau mzee kapanic huyu hajui chakuongea tena,..ushauri wangu kwako magufuli nenda kamuombe msamaha mkeo mkae kwa amani ule pension ikulu labda 2025 kama utakuwa bado unaweza push up tena kama ukawa wakizingua wasipo zingua basi baba mtazidi uisoma

    ReplyDelete
  5. Sema sema usiogope magufuli watanzania tuna kusikia
    Kumbe ni mawaziri ndo wanaoamua maendeleo ya Tanzania
    Watanzania msiwape kura mawaziri wote wa serikali akiwamo na magufuli

    ReplyDelete
  6. Watanzania wamekata tamaa au tumekata tamaa pamoja na wewe kwa ajili ya uongozi mbovu WA CCM kwa miaka 53
    Lowassa Lowassa tuokoe Watanzania

    ReplyDelete
  7. huyo lowasa ndo kwanza atawazika badala ya kuwaokoa anawachimbia kaburi ila mna maho hamuoni kuongea ndo kipaji chenu wapinzani sie kimya tunasubiri oct

    ReplyDelete

Top Post Ad