Mtikila Ampa Makavu Lowassa.....Asema ni Mgonjwa na Tapeli. Adai Watanzania Wanaugonjwa wa Unyani na Viongozi wa CHADEMA ni Wavuta Bangi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti  wa  Chama  cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila ,leo  asubuhi  alikuwa Live  Star Tv  katika  kipindi  cha Tuongee  Asubuhi  ambapo  ameongelea  mambo  mbalimbali  kama;
  1. Dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu
  2. Umuhimu wa afya bora kwa wagombea uraisi
  3. Ahadi  za  CCM  na  CHADEMA  Kutoa  elimu  ya  bure
  4. Mapungufu  Ya  Edward Lowassa.
  5. Tafiti zilizofanywa na SYNOVATE  pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi
Hapo  chini  kuna  video  za  maongezi  yake  ambazo  utapata  nafasi  ya  kuzisikiliza, lakini  kabla  ya  video  hizo, haya  ni  baadhi  ya  mambo  aliyoyaongea  Mtikila.

1-Sababu iliyofanya ngombea mwenza wake kutotokea ni dharura ya ugonjwa iliyompata mkewe huko Zanzibar na amesema Jumaatatu yake alienda ofisi za tume kufuatilia akaambiwa mwenyekiti Jaji Lubuva hajafika ofisini anaumwa hivyo akawaambia naye jaji Lubuva kwa kushindwa kuhudhuria ofisini kwa sababu ileile naye akatwe.

Amesema amepeleka kesi mahakama kuu na wiki ijayo ndio inatolewa uamuzi.

2. Mtikila amesema kafungua mashtaka kuzuia Lowasa kuendelea kugombea urais kwa hoja ya afya yake akijenga hoja kwamba muajiriwa yoyote lazima apime afya yake hivyo lowasa anakosa sifa hiyo ya kupewa nchi.

3. Amesema watanzania tunaumwa epidomia, mwenyewe kauita  niunyani, yaani tukipewa kanga kofia viroba tunashabikia tu.
 
4. Amesema wanachama na viongozi wa chadema bangi na gongo kwao ni kama sakrament.

5.Amesema Lowasa ni tapeli kwa  kuwa  alitudanganya anaenda kutununulia mvua.

6. Alipoulizwa nani anamuona anaweza kuibadili Tanzania kati ya Lowasa na Magufuli alijibu magufuli ndio sahihi japo ana mapungufu yake lkn zaidi yake yeye ndio anafaa.

Hapo  chini  kuna Video za Maongezi Yake

Video  ya  kwanza: Mchungaji Christopher Mtikila akinadi sera za chama chake


Video ya Pili: Mchungaji Christopher Mtikila akizungumzia tafiti zilizofanywa na SYNOVATE pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi katika uchaguzi mkuu.


Video ya Tatu: Mchungaji Christopher Mtikila akimkataa Lowassa kwa madai kuwa ana mapungufu mengi yaliyowazi hivyo hamuungi mkono.


Video ya Nne:Mchungaji Mtikila awachambua wagombea uraisi wa CCM na Chadema na ahadi zao za kutoa elimu bure kama vipaumbele vyao. 

Video ya 5: Mchungaji Mtikila Azungumzia Afya kwa Mgombea Uraisi 



Video ya 6:Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila akizungumzia dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kasema ukweli mtupu.

    ReplyDelete
  2. LIPUMBAVU HALIJUI KITU GANI LINAONGEA.. BANGI LIVUTE YEYE,,,

    ReplyDelete
  3. Nimemdharau sana huyu mzee,hovyoo

    ReplyDelete
  4. Nimemdharau sana huyu mzee hovyoo..wee mzima?

    ReplyDelete
  5. ukweli unauma sana, hata mkimtukana ndo kashasema mr Nyaa kawapoza?

    ReplyDelete
  6. utawadharau wangapi? kweli Lowasa ni mgonjwa hana hadhi ya kuwa rais, atatuchafuli hali ya hewa state house

    ReplyDelete
  7. mgonjwa yeye ila hajijui,laana za kuchezea bibilia

    ReplyDelete
  8. MNATAKA MR MAMVI ATUJAZIE INZI KILA MAHALI. NOOO

    ReplyDelete
  9. Hatukubali ukweliii lakini na uchizi wake mtikila kasema kweli,,,,,, mabadiliko jwa lowasa haipoooooo

    ReplyDelete
  10. siku zote tunasema mtikila yumo katika orodha ya wasaliti wakubwa wa mageuzi na mabadiriko nchini tanzania.inawezekana wengine mlikua bado hamjamwelewa vizuri mtikila.ndiye huyu ng'ombe.msije mkashangaa pia kwa siku hizi 29 zilizobakia akapandishwa jukwaani na ccm akiwa na magwanda ya kijani kumnadi magufuli.yaani mtikila wa leo sio yule wa jana hafai,hafai na kama umemuona hivi karibuni, anatembea barabarani anaongea peke yake huku akirusha mikono.ni complete mental case.wasaliti wabaya kabisa wa mageuzi tanzania ni dr slaa,mtikila,profesa lipumba na zitto kabwe.walaaniwe,wapuuzwe,wazomewe,wahukumiwe na umma wa wapenda mabadiriko wavuliwe nguo, na mwisho wapigwe mihuri.ukawa ushindi ni wa Tsunami 25 octoba 2015.watakua wapi tarehe 26 octoba?

    ReplyDelete
  11. Washabiki wa UKAWA ni shida...wakiambiwa ukweli wanaishia kutukana..hakuna hoja za msingi.

    ReplyDelete
  12. Washabiki wa UKAWA ni shida...wakiambiwa ukweli wanaishia kutukana..hakuna hoja za msingi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMETUMWA NA CCM, AU NI MAMLUKI? WENYE CCM YA DHATI WAMEIHAMA, UNATAKA KUMPOTOHA NANI?

      Delete
  13. hili ni babu la hoyvooo toka siku nyingi, ndiyo maana halifiki mbali, kila siku mahakamani kila siku matattizo, sasa nani atalisikiliza!! halina maana hata kidogo!!! wewe mtikila potelea mbali! hauna maana kwenye nchi hii!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hamna ukweli hapo kaka, ukikubaliana na chizi na wewe utakuwa chizi!!

      Delete
  14. ukweli unaumaaaa watu wanakurupuka na kufuata mkumbooo MUNGU ATATUONYESHA NANI MKWELI KATIKA MOYO WAKE SOON

    ReplyDelete
  15. hamta mlipwe shilingi ngapi kuongea PUMBA! hamtubadilishi kura ni kwa LOWASSAA tuuu!!

    ReplyDelete
  16. ANASEMA HIVI SISI WATANZANIA WOTE -HII NI PAMOJA NA BABA YAKE NA PIA MAMA YAKE -NI MANYANI NA,TUNA UGONJWA WA UNYANI.KABAKIZA NINI HUYU KADA MPYA WA CCM KADI NAMBA F[FOR FAILUE[ 413827[nimeiona] SASA HIVI KWA TAARIFA YA LEO JUMAMOSI 26 SEPTEMBA 2015 KAONEKANA ANATEMBEA MAENEO YA KWAKE NHC-MCHIKICHINI BARABARANI KAVAA CHUPI BILA VIATU,ALIPOULIZWA ANAENDA WAPI KWA HALI ILE AKAJIBU' MSOGA CHALINZE KWA RAFIKI YANGU JAKAYA' MALIPO YA MWANZO YA USALITI.

    ReplyDelete
  17. Mtikila hana hana balozi,alishindwa kumpata mgombea mweza akakosa nafasi yakugombea urahisi.
    Yeye ndio anavuta bangi.Kikwete alianguka mara ngapi wakati wa kampeni za urahisi 2010.Alikuwa mgonjwa mbona hakuwakusema.Bila CCM inaposema lowassa mgonjwa hafai kuwa rahisi inahubiri kuwatenga wagonjwa au?
    Mtikila amechanganyikiwa ndio maana ameenda kuongelea kwenye TV ya CCM.Yeye ndio mnywa kirobo.

    ReplyDelete
  18. Mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi dah! Na tutaitwa kila majina ila wakumbuke tu wanaowapa hayo majina ndiyo wapiga kura wenyewe

    ReplyDelete
  19. Mumsamehe. Anahitaji sala zenu.

    ReplyDelete

Top Post Ad