Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na tofauti nilitegemea kuwa 2ngekaa pamoja nakujua madhaifu ya chama na chama gani kitatufaa ili kiweze kutusaidia maslahi ye2 pamoja na maslahi ya wananchi wanaoishi maisha ya tabu kwenye nchi yenye kila aina ya utajiri badala yake 2napambana wenyewe kwa wenyewe. Jamani wasanii mmesahau shida zetu zote kwa kipindi hiki kifupi cha uchaguzi kumbukeni siasa si kazi yetu kazi yetu ni sanaa tusiwe wajinga huu ndio wakati wa kuwafunza viongozi waliokuwa wanaidharau tasnia ya sanaa na wananchi waliokuwa wakiwaona ni sawa na box lisilo na bidhaa ndani yake najua wasanii wenzangu kwamba kipindi hichi ni cha mavuno lakini tuangalie tusije tukala mpaka mbegu na kuzipata tena mbegu zingine mpaka miaka mitano ijayo sasa sijui kipindi chote hicho maisha yatakuwaje? Maana kuna maisha mengine baada ya uchaguzi.

WAZUNGU WANASEMA HIVI. To be a rich is not what you have in your account but what you have in your heart. Sijui nimepatia hiki kizungu haya walimu twende".

Vicent Kigosi ‘Ray ‘ @raythegreatest on instagram

Your work is going to fill a large part of your life, and the only way to be truly satisfied is to do what you believe is great work. And the only way to do great work is to love what you do. If you haven't found it yet, keep looking. Don't settle. As with all matters of the heart, you'll know when you find it. Steve Jobs

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad