Tundu Lissu Asema Haya Baada ya DR SLAA Kuwalipua Chadema Leo...Adai Dr Slaa ni Mwongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akihojiwa na Sauti ya America leo Tundu Lissu kasema kujiuzuru kwa Dr Slaa kumesababishwa na kukosa nafasi ya Urais.Shinikizo limetoka kwa mkewe kwani alikuwa amejiandaa kuwa firstlady.
Kuhusu kuachana na siasa toka July TL kasema Dr Slaa ni Mwongo maana amechukua mshahara wa mwezi August na amekuwa akitumia Ulinzi pamoja na Gari la chama
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad