Utafiti wa TWAWEZA Waibeba CCM.....Kama Uchaguzi Ungefanyika Leo asilimia 65% walisema Magufuli, 25% walisema Lowassa.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imefanya kwa wananchi wa Tanzania bara kutoka mikoa tofauti ya Tanzania.

Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama gani? wanasema watu wamejibu kama ifuatavyo

CCM - 66%
CHADEMA - 22%
CUF - 1%
ACT wazalendo - 0%
UKAWA - 3%
Kingine - 6%
Hakuna jibu 2%

Utafiti huo  uliotokana na kuhoji watu 1848 kutoka mikoa tofauti ya Tanzania bara, inasema iliwauliza wananchi hao: Ukimwacha Rais Kikwete, iwapo uchaguzi wa urais ungefanyika leo, ungemchagua nani?

...Majibu ya swali hilo TWAWEZA wanasema limejibiwa na wananchi hao kama ifuatavyo

Magufuli 65 %
Lowassa 25%
Mwingine 3%
Sijui/kataa jibu 7%

Akitangaza utafiti huo leo, Mkurugenzi mtendaji wa TWAWEZA,  Aidan Eiyakuze  amesema kwa upande wa ubunge, Utafiti huo unaonyesha kuwa CCM inaongeza kwa asilimia 60 na kufuatiwa na CHADEMA asilimia 26.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AMA KWELI DUNIANI KUNA MAMBO AIDAN EIYAKUZE WA TWAWEZA RAFIKI MKUBWA NAMBA MOJA WA JANUARY MAKAMBA UMETIA FORA YA AIBU.UNAJUA KILICHOFANYIKA PALE? EIYAKUZE ALIKUJA NA NYARAKA ILE ILE ILIYOANDALIWA MAPEMA NA TIMU YA PROPAGANDA YA CCM YAANI ILE ILE ALIYOISOMA JANUARY MAKAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI WIKI ILIYOPITA ALIPOITISHA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.SIKU ILE ANAONGEA JANUARY EIYAKUZE ALIKUA PALE LUMUMBA NDANI YA GARI YA JANUARY,NA MARA BAADA YA KILE KIKAO AKAJA JANUARY WAKAONDOKA PAMOJA HAPA KILICHOFANYIKA NI MBINU TARAKIMU NA MWELEKEO-MTAZAMO WA NYARAKA-DOCUMENT.YAANI NI AIBU KWA WANAOJIITA TWAWEZA-A BUNCH OF CCM FOOLS& IDIOTS-HUU SIO UTAFITI JAMANI,SI UTAFITI HATA CHEMBE,NI MUENDELEZO NA MARUDIO YA UPUUZI,USHENZI,UNAFIKI,UANAHARAMU,UONGO,ULAGHAI,UTOTO WA MBINU -TAKA.ZA CCM.NI MARUDIO YALE YALE YALIYOANGUKA VIBAYA NA KWA AIBU KUBWA YA MWAKYEMBE ALIYETUMWA NA CCM KUMNUNUA DR.SLAA NA KWELI AKANUNULIKA-MSALITI MKUBWA-MATOKEO YAKE SIRI ILIPOFICHUKA DOLA IKAAMUA KUZIBEBA GHARAMA ZOTE ZA MAISHA YAKE NA SASA CCM WAMEMPELEKA UHAMISHO WA LAZIMA MZEE WA WATU HUKU AKIWA UCHI MBELE YA JAMII..HUYU TAKA -LUNDO KIBARAKA WA CCM AIDAN EIYAKUZE WA TWAWEZA NYINYI SASA FUATILIENI TUU TAARIFA ZAKE MUONE JINSI CCM WATAKAVYOMUENZI NA KUMLINDA,MTAJA NIAMBIA.PIA MMEMUONA MSALITI KIONGOZI ZITTO KABWE ALIVYOCHOMEKEA? KASAHAU NA YEYE ANA MGOMBEA URAIS.USHINDI WA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MNAMO TAREHE 25 OCTOBA 2015 SI WA MJADALA BALI NI WA WAZI MNO, USHINDI WA ZAIDI YA ASILIMIA 80 YAANI UTAFIKIRI KURA ZA NDIO AU HAPANA ZA UCHAGUZI WA CHAMA KI MOJA.

    ReplyDelete
  2. nafikiri hawa wamegeuza bada ya mbele wameweka kinyume nyume lakini isiwe tabu tusubiri octoba ndio mkweli ataonekana.

    ReplyDelete
  3. Tulijua 'mtachonga' tu, lakini habari ndio hiyo

    ReplyDelete
  4. Mhariri blogger udaku especially timiza fair play yaani usiwe upande wa ccm zaidi na kukandamiza maoni hususani yenye majibu sahihi kutoka kwa wapenda mabadiriko.tunakuletea makala chungu nzima hauyaruhusu kuchapishwa.hii ni dhambi,acha upendeleo

    ReplyDelete

Top Post Ad