Dr Slaa Aibuka...Aonekana na Rais Kikwete Katika Uzinduzi wa Jengo bohari ya dawa CCBRT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na  viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na mgahawa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa 
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo



Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen



Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakumbuka 2010 Doctor slaa alikataa kuhuzuria sherehe zakumuapisha Rais Doctor Mrisho Jakaya Kikwete.Pia alimtaja Kama moja ya mafisadi.Hii inaonesha jinsi nnchi ilivyo kuwa na wenyewe ..Tumua akili tusidanganyike,mwisho anakuwa waziri.

    ReplyDelete
  2. UNASHANGAA KWA MSALITI WA MABADIRIKO SLAA KUONEKANA NA KIKWETE PALE CCBRT. NAOMBA USISHANGAE SASA HIVI SLAA NI MJUMBE WA 33 WA KAMATI YA USHINDI YA CCM,NA JEE UNA HABARI ALIKUWEMO KWENYE MSAFARA WA ZIARA YA KUKWETE NCHINI MAREKANI NA WALIRUDI PAMOJA,KWENYE NDEGE YA SERIKALI YA TANZANIA ANAYOITUMIA KIKWETE. HIVI SASA KIKWETE BADO ANA TAKRIBAN WIKI TATU KUTUMIA NDEGE HIYO NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBA 25,YAANI KUANZIA TAREHE 26 MWEZI HUU WA OCTOBA NDEGE HIYO ITATAKIWA IKAE PALE GOVERNMENT HANGAR KUMSUBIRIA RAIS MPYA WA AWAMU YA TANO MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA KUAPISHWA. HILO NI MOJA,NA PILI,KWA KUA KIKWETE ANA CHUKI KUBWA SANA YA KISHETANI KWA MPENDWA WETU MHESHIMIWA LOWASSA BASI OFISI ASIMKABIDHI YEYE, BALI NI VEMA KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SIFUE AMKABIDHI MHESHIMIWA LOWASSA .KWA SABABU HILI LINAHUSU ZAIDI MFUMO WA UTENDAJI WA SERIKALI HAPA HATUONI UMUHIMU WA KIKWETE KUKABIDHI,MENGI YATAKUA NI YA ULAGHAI TUSHITUKE MAPEMA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utasubiri sana EL kuwa rahisi wako.Magufuli oyeeeeeeeee hiyo inajulikana.usijisumbue kuandika Gazette ukijidanganya ukawa bado sana.

      Delete
  3. Dokta slaaaa anahaki ya kisiasa na Ni mtu anaejielewa na sio kuburuzwa tuu na huwa hakurupuki ubaya nikwamba ukawa mnafosi mtu akiamin mnachokiamin nyinyi muachen mzee wa watu Ni haki yake mstake kufanya siasa za chuki hapa

    ReplyDelete
  4. Sitamwelewa DR Slaa kuwa CCM. Kwa miaka yote Kaimba wimbo wa CCM chama cha mafisadi. Hali sahani moja. Baada ya kupewa pesa kukutana na Kikwete Marekani haoni haya kuonyesha uso hapo. Ni Padre Mstaafu ambaye haeleweki. Kigeugeu, mwongo. Ni watu kama hawa wasio na msimamo na uzalendo wakipewa donge wanaufyata kimya. Tanzania haimhitaji mtu mdanganyifu na kigeugeu. Taifa letu haliendelei sababu watu hawana msimamo, hawana mwelekeo, hawana uzalendo. Kapigwa siasa marekani na Wawekezaji kuitetea miradi yao Tanzania,

    Ubepari ndio huu.

    ReplyDelete
  5. ,unasema tusiwe na siasa za chukihivi na wewe unayeongea hayo yanatoka kwenye kichwa kilicho sawa,makini au ndiyo u-ccm umekupofusha maana yake kuna mtu mwenye chuki,mbaya,chuki chafu na lowassa kama kikwete.jee huoni?,jee hukuona? wacha hizo kaka,kaa kimya au kanywe lubisi maana ndiyo pombe yako na ukishalewa,lala.ccm kwissheni

    ReplyDelete

Top Post Ad