Faiza Ally asema huenda ana ujauzito wa mpenzi wake Mmarekani Hivyo Kurudiana na Sugu ni Ndoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzazi mwenzake na mbunge wa Mbeya mjini, Sugu – Faiza Ally, amedai kuwa huenda akawa ni mjamzito.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Faiza alisema kutokana na hilo hadhani kama ataweza kurudiana na Sugu tena.

Sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwa sababu sijapima,” alisema. “Kwahiyo kurudiana hiyo ni kwenye ndoto tu siyo kitu hata ambacho unaweza kukizungumzia. Sio mpenzi mpya nimekutana naye baada ya mwaka mmoja kuachana na Sugu, sasa hivi tuna kama mwaka,” aliongeza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe una akiri ungekua na akiri usingemtaja uyo sugu wako

    ReplyDelete
  2. Huyu si mzima, haipiti siku bila kumsema Sugu khaa! Sasa hayo maelezo yote yanahuuu???

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu akili zake zinakaaga wapi vile? nisaidieni jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad