Je Unataka Kuhama Chama na Kumuunga Mkono Magufuli? Basi Hii Inakuhusu...Magufuli For Public Interest (M4PI)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA









MAGUFULI FOR PUBLI INTEREST "M4PI" ni kikundi kisichofungamana na chama chochote katika mchakato huu wa uchaguzi. Lengo lao ni kuhakikisha wanawaongoza watu mbalimbali wanaotaka kuhama vyama vyao na kumuunga mkono Dkt. Magufuli. Wanafanya kaazi ya kuhakikisha mgombea ambaye atasimamia maslahi ya umma ndiye anakuwa mshindi katika uchaguzi huu.


Baada ya wananchi kusikiliza na kuchambua Sera na mikakati ya wagombea mbali mbali. Wanachama kutoka vyama vya upinzani ikiwemo CHADEMA, CUF, NCCR, UDP... wameamua kurudisha kadi zao na kumuunga mkono Dkt. Magufuli. Viongozi wa vikundi vya M4U na Friends of Lowasa mwanza wametangaza ramsi kujuinga na Team Hapa kazi tu. Viongozi hao wamesema kuwa wamepewa ahadi Hewa nyingi, kwa masalahi ya taifa wameamua kumuunga mkono Dkt. Magufuli na kuwa wanaimani nae...

Viongozi Taifa wa Magufuli for Public Interest/MAGUFULI KWA MASLAHI YA UMMA  (M4PI) ,ni JACQUELINE MZINDAKAYA na DONATUS RUTAGIMBWA ..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CHAMA HIKI NITAJIUNGA NACHO KWA ACRONYM ILE ILE M4PI ILA UREFU WA TAFSIRI YAKE KWA KUCHUNGUZWA KIUNDANI NA WANANCHI KUBAINI UKWELI .UTABADIRIKA KUTOKA UONGO NA UZANDIKI WA SASA MAGUFULI FOR PUBLIC INTEREST KUWA STAHIKI YAKE SAHIHI YA MAGUFULI FOR PUBLIC INVESTIGATION YAANI MAGUFULI KWA UCHUNGUZI WA KINA WA KIHALIFU NA WANANCHI ILE ILE M4PI,NAANZA,.MAGUFULI NI MPOKEA RUSHWA MKUBWA KWA NJIA YA TENDA ZA MAKANDARASI WA BARABARA.YEYE HUMEGEWA ASILIMIA TANO[ 5% ] YA THAMANI YA TENDA YA KUJENGA BARABARA.MFANO MKANDARASI ANAPEWA TENDA YA KUJENGA BARABARA YA LAMI KILOMITA 80 KWA BEI YA MILION 900 KWA KILOMITA,MAGUFULI HUPEWA RUSHWA YA TSHS 900x80 GAWANYA KWA 5 ANAPEWA SHILINGI MILLION 144.SASA TUHESABU MWAKA JANA 2014 PEKEE WAKANDARASI-BARABARA WALIPEWA KUJENGA KILOMITA NGAPI KOTE NCHINI KWA HESABU HIYO HIYO.TUULIZENI MAKONTRAKTA BARABARA MSIKIE KILIO CHETU CHA RUSHWA KUBWA WIZARA YA UJENZI YA MAGUFULI-HUSUSANI YEYE MWENYEWE MAGUFULI..............TUTAENDELEA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Du! We'kweli kiboko!! Inaelekea wewe ni mtoaji rushwa mzuri, mpaka umeyajua na kuyaelezea haya wewe tu, hata hao 'mabosi wako' wa kujinyea hawayajui!! Pole sana tena sana, ila hii story yako ni nzuri mno, hebu wasiliana na Shigongo akudhamini utengeneze kitabu, ukipe kichwa cha habari 'NIMEKATA TAMAA'......utatoka tu, kipaji cha 'KUTUNGA' unacho.....

      Delete
  2. KWELI NIMEAMINI NDIO MAANA KINGUNGE AMEWAACHA SOLEMBA SASA UNA SEMA M4P KWAHIYO MAGUFU AGOMBEA KUPITIA CHAMA GANI????????? KWELI HAMNAZO NYINYI VJN WA CCM,SASA KN NYINYI WENYEWE MNAONA HATA AIBU KUITAJA CCM HADHARANI, ,JE SISI NDIO MAAANA TUMEAMUA LIWALO NA LIWE MWAKA CCM NI LAZIMA IKAFIE MBELE NA UNYONYAJI WAKE KWA WATANZANIA,KZ KUTUIBIA RASILIMALI ZETU,NA FAMILIA ZETU MWAKA LAZIMA KIELEWEKE VIVA LOWASA VIVA UKAWA

    ReplyDelete
  3. HAAAAA ETI M4P MGOMBEA WENU BINAFISI AMECOPY M4C MWACHENI TU AENDALEE KUTUMIA HIYO UKAWA HAWANA ROHO MBAYA KN CCM NA USWAHILI SWAHILI WENU, DAAAAAA ETI M4P kweli mmefika mwisho hata ubunifu umewashinda????????????????????????????,UMSITAKE KUTUONGEZEA TENA UMASKINI.

    ReplyDelete
  4. Mi PIA nipo kwakweli narudisha kadi ya ccm najiunga na M4pi, magufuli namkubali Sana ILA ccm imeniangusha kwa kuwaweka watu wenye kashfa kama kina tibaijuka kugombea ubunge, Ni aibu kwa kweli

    ReplyDelete
  5. Huna mpango magufuli na mafunguo wewe
    Poteza muda wako
    No chance
    No chance
    No goli ka mkono
    We are IT we know all stuff
    All program
    Even to protect the hackers
    Sorry ikulu utaitazama Chato

    ReplyDelete
  6. Nishidaaaaaa October 25

    ReplyDelete
  7. Hii kali wabongo wameamka kweli itikadi ya vyama imepitwa na wakati sasa anachaguliwa kiongozi bora na si bora kiongozi na sio chama

    ReplyDelete
  8. UNAJUA SHIDA YENU KUBWA NYINYI CCM,SIKU ZOTE NI KUCHOKONOA HOJA AMBAZO HAMNA UWEZO NAZO, WA KUZITETEA, NI HOJA MAGUGU MAJI,NA NDIYO MAANA MNAONA MNAELEMEWA VIBAYA KWA KIILA KITU INATIA HURUMA.MWOGOPE BINADAMU UTAMDANGANYA SANA,MIAKA MINGI LAKINI,SIKU YA KUAMUA KUKUBADIRIKIA MITI YOTE ITATELEZA.SASA HIVI CCM IMEBADIRIKIWA NDIO WANAAGA HIVYO,WANAONDOKA,KWA AIBU NA FEDHEHA KUBWA,POLENI MABWEGE.NA,KWENYE MAZUNGUMZO YAO WANASEMA WATAMJUTIA,SIKU ZOTE ZA MAISHA YAO KIKWETE NA BERNARD MEMBE. HAWA NDIO WAUAJI WA CCM ,WAMEIUA CCM.LAKINI KWA UPANDE MWINGINE,HUU ULIKUA NI MPANGO WA MUNGU KUTULETEA MHESHIMIWA LOWASSA.JAMANI HEBU TUIMBE PAMOJA "BILA CHUKI ZAKO KIKWETE,NA LOWASSA TUNGEMPATA WAPIIII "KWA RAHA ZETU TURUDIE MARA KUMI.HII NI KWA RAHA ZETU,TUNATAMBA..

    ReplyDelete
  9. CCM BWANA HA HA HA WANATESEKA HUU MWAKA KILA RANGI MTAONA,TUNAANGALI PIA NA HISTORIA YA CHAMA KABLA YA MAAMUZI,MSITAKE KUKIMBIA CHAMA CHENU CHA CCM IMEWALALIA IMEWALALIA ,MMEONA KIMEOZA UNAJIDA ETI TUCHAGUA MTU,KUCHAGUA MTU THUBUTU YUNE,MWENDO MDUNDO DELETE CCM IMEUA UCHUMI KUTOKA ASLILIMA 7 mpk 6.9 NDANI YA MIAKA KUMI ,VIVA UKAWA

    ReplyDelete
  10. KWA KWELI KUCHAGUA MAGUFULI NA CCM YAKE,KUTATUOGEZEA MAUMIVU YA UCHUMI NA MAISHA ZAIDI MSITUDANGANYE KABISA UNAPOTE PESA ZETU BILA AIBU TU HAKUNA JIPYA TUTAENDELEA KUBAKI TULIPO MPUMZI IMEKWISHA .CCM NI ILE ILE CCM NI ILE ILE HATA MWENYE WANASEMA,

    ReplyDelete
  11. YAAAAAAAAANI ILI TUPONA HAKUNA NJIA NI KUITOA CCM TU

    ReplyDelete
  12. Picha za kuunga unga Kama chama chenyewe na mgombea wake
    Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  13. Nasubiri kwa hamu kuona Magufuli akiapishwa baada ya kushinda Uchaguzi. Hapa kazi tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utamwapisha chumbani mwako
      Fyuuuuuuuuuuu

      Delete
  14. TUNAENDELEA.MAGUFULI NI MWIZI MKUBWA,TENA FISADI PAPA KULIKO BABA YAKE BEN MKAPA ALIYEJIBINAFSHIA KIWANDA CHA MAKAA YA MAWE KIWIRA, MASHAMBA YA CHAI LUSHOTO,NYUMBA NYINGI SANA ZA SERIKALI NA MASHIRIKA.WIZI MKUBWA WA PILI WA MAGUFULI AKIWA WAZIRI WA UJENZI NI HUU.ANAMWITA MKANDARASI WA BARABARA ALIYEOMBA KUJENGA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI AIDHA OFISINI KWAKE AU NYUMBANI KWAKE ADA ESTATE.ANAMUULIZA QUOTATION YAKO YA UJENZI KWA KILOMITA MOJA NI KIASI GANI.MKANDARASI ANAMWAMBIA MILLION 750.MAGUFULI ANAMWAMBIA SAWA HILO ANALIPITISHA ILA ANAWEKA CHAKE CHA JUU MILLION 150 HIVYO SASA BARABARA KUGHARIMU MILLION 900 KWA KILOMITA. KWA KILA KILOMITA.MKANDARASI ANAMLIPA MAGUFULI KAMA FISADI BINAFSI MILLION 150.WANAKUBALIANA MKANDARASI ANAPEWA KIPANDE CHA KILOMITA 120 NA KWA HESABU HII FISADI MKUU MAGUFULI ANAPEWA MILLION 150x120 [KILOMITA] JUMLA BILLION KUMI [10] HUYU NDIYE MGOMBEA WA CCM JOHN MAGUFULI ANAVYOTUIBIA WATANZANIA.NI MWIZI MKUBWAWA KUTUPWA ,JIZI.SI MWADILIFU HATA CHEMBE. USIKOSE KUPATA WIZI WAKE MWINGINE ALIOUFANYA,SASA TUTAHAMIA KIVUKO CHA BAGAMOYO,UENDELEE KUSHIKA MDOMO.MAGUFULI NI MWIZI,MWIZI,MWIZI TENA NAMBARI ONE.BADO TUNATAKA UONE JINSI HAWA CCM WANAVYOIANGAMIZA NCHI YETU.

    ReplyDelete

Top Post Ad