Kisa Kampeni za Lowassa na Ukawa...Mtoto wa Shamsa Ford Alelewa na Bibi yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTOTO wa staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford aitwaye Terry, analelewa na mama yake mzazi wakati yeye akiwa bize na kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.

Shamsa akithibitisha jambo hilo, aliliambia gazeti hili kuwa amelazimika kumuacha mwanaye kwa bibi yake ili aende na kasi ya kampeni, lakini hujitahidi kuzungumza naye kwa simu kila siku ili kumfanya ajisikie vizuri.

Namkumbuka sana mwanangu, lakini sina wasiwasi maana yupo kwenye mikono salama, tukipumzika kwa wiki mara moja au ndani ya wiki mbili huwa narudi Dar kumuona, unajua ndiyo harakati za kisiasa lazima nimwache kwa muda,” alisema Shamsa ambaye ni mwanachama wa Chadema.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad