Lowassa Akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, Kuna Watu Watalia Mara Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri
Last edited by Lizaboni;
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM wewe kwenda mbali
    Lowassa ashindwe Labda kwa Bao mkono na Hilo halipo tutalinda kura zetu hatutaki vituoni NGO
    Pamoja na makapi kupata ukuu WA wilaya

    ReplyDelete
  2. ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI...........CCM INAYOYOMA

    ReplyDelete
  3. MAGUFURI AKISHIDWA URAISI MTAJINYONGA

    ReplyDelete
  4. PELEKA MKOSI WAKO CCM

    ReplyDelete

Top Post Ad