AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mamba Matano Ya Ajabu Yaliyojitokeza Mwanza Jana Lowassa Akiwa Kwenye Kampeni
Watu Kadhaa Wazimia kutokana na Msongamamo wa watu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Lililopangwa haliwezi kuzimishwa. Bali limecheleweshwa tu. Huu mpasuko ni wa siku nyingi. Dingi na kundi walifikiri ndio mwisho. Kumbe wametonosha kidonda.
ReplyDeleteMungu ukubwa
ReplyDeleteHeee! Me sina swali! Nakubaliana na Duni CHALIII!
ReplyDeletelabda waibe kura!!! ccm mwaka huu kwishneiii!!
ReplyDeleteyako wapi sasa mambo matano?
ReplyDeleteMuulize mkeo au bwana yako Kama hujui kusoma
DeleteMbona sio mambo ya ajabu. Nimefungua nikidhani kuna cha ajabu kumbe hakuna!
ReplyDeleteNenda kachambe
DeleteHuyu mzee atakuwa anajisikia faraja sana maana si kwa kukubalika huku! Inawezekana huyu mtu kiundani ana roho nzuri sana
ReplyDeleteMakongoro Upo wapi
ReplyDeleteUmeeona wagonjwa hao
Kama manabiii
Bado zamu yako
24 October
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES POWER, HIVI MNATAKA NINI TENA JAMANI, MAJIBU SI MNAYO TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeleteFisiemu bado hamuoni hayo maaajabu?nyie endeleeni kujitekenya mkimaliza tuonane tarehe 25,wazee wa malori na ubongo flava.
ReplyDeleteUkawa ikishinda hakuna muungano wala mapinduzi babu kingunge mchochezi
ReplyDeleteNyie ndio wachochezi. Nyie ndio mlioliweka Taifa hapa tulipo,
DeleteNyie ndio mnaolazimisha mambo na kujinufaiha. Watu wengi
hukuwapa hata kwa nguvu watu watachukua. MMemsahau
Makongoro, alipowaimbia CCM enzi zake. Ni hii aliiitabili.
limetimia.