P-Square na Fally Ipupa Walitamani Kuwachukua Dancers wa Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake.

Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika.

Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka kufanya kazi na sisi,” amesema. “Wakamfuta Diamond lakini Diamond akakataa kwa sababu walikuwa wanataka tujoin halafu tufanye show pamoja kitu ambacho hakiwezekani,” ameongeza.

“Pia tulikutana na Fally Ipupa, aliomba kufanya show na sisi lakini management imeshindwa kutuachia kwa sababu tuna kazi zetu binafsi.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad