Tanesco Waogopa Kauli za Wagombea Magufuli na Lowassa za Kuwawajibisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]

Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.

Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.

Tunaomba Hali iendelee hivi hivi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbowe alisema tanesco wana uhanga

    ReplyDelete
  2. Kwetu bado unakatikakatika

    ReplyDelete
  3. MWANZA HALI BADO MBAYA....UMEME UNARUDI SAA5 USIKU UMELALA UNAKATIKA SAA 10JIONI UPO KAZINI.

    ReplyDelete
  4. TATIZO KBWA LA TANESCO KAMA ILIVYO KWA JOPO LA MAWAZIRI WALIOPITA WENYE DHAMANA YA NISHATI NA RAIS MWENYEWE JAKAYA KIKWETE WAMEKUWA KWA MUDA MREFU SANA SASA KUWA WAONGO,HAWASEMI UKWELI KWAMBA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA BADO,ITACHUKUA MUDA ZAIDI YA TUNAVYOFIKIRIA.UKIONGEA UKWELI UNAONDOA MASWALI NA LAWAMA ZA WATUMIAJI.RUDIA NENO HILI:UKWELI.TUANZE NA MHESHIMIWA RAIS,KWA HOTUBA ZAKE ZA MIAKA YA NYUMA NYINGI TUU, NA HUSUSANI TUCHUKULIE YA HIVI KARIBUNI MWAKA 2013. KWA MARA KADHAA MWAKA HUO KIKWETE ALIUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KWAMBA IFIKAPO OCTOBA 2014 TATIZO LA UMEME TANZANIA LITAKUWA HISTORIA,SIJUI MMNAKUMBUKA HILO.LEO HII OCTOBA 2015 MWAKA MMOJA NJE YA MUDA WA AHADI YA RAIS BADO HALI NI MBAYA SANA.AHADI ZA UONGO ZIMEIHARIBU SANA NCHI YETU.KWA MARA YA KWANZA NIMEWAONA TANESCO SASA WAKIIJIBU MAPIGO KWENDA SERIKALINI KWAMBA SIASA ZA CHAMA DOLA NDIZO KIMEKUWA CHANZO KIKUU CHA MATATIZO LUKUKI YA TANESCO VIKIWAMO UPATIKANAJI WA UHAKIKA WA UMEME NCHINI .TUNAWAAMBIA TANESCO LOWASSA ANAKUJA ANACHUKUA NCHI OCTOBA HII MWISHONI .JIANDAENI TANESCO KWANZA KUTUPWA SERO,HALAFU KUFUKUZWA KAZI KISHA KUFILISIWA.MMEKULA SANA VYA WIZI.

    ReplyDelete
  5. NDIYO SAWA KABISA VIONGOZI TANESCO NA WAHANDISI WENU MKISOTA LUPANGO KWA KOSA LA KUUHUJUMU UCHUMI MTAONA KWA JINSI GANI MLIVYOHUSIKA KUUPOROMOSHA UCHUMI WA TANZANIA.MMELETA MADHARA MENGI MAKUBWA,MAAFA MENGI,VILIO VINGI,WIZI MWINGI.YAANI NAONA KAMA VILE MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA ANACHELEWA KUAPISHWA.PIA HUYU WAZIRI WENU WA SASA WA NISHATI,MLEGEVU SIMBACHAWENE PIA NAWE ATENGEWE CHUMBA GEREZA KUU LA ISANGA DODOMA ASICHANGANYWE NA WENZIWE WA TANESCO SEGEREA WATAKULA NJAMA.HAWA NI WAHUJUMU UCHUMI WAKUBWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad