Utabiri wa TB JOSHUA Kwa Lowassa Kuwa Rais Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.

Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.

SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO UNABARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU? KAMA NDIO KUNA HAJA YOYOTE YA KUTEGEMEA TABIRI KWA HAWA WANAO JIITA WATUMISHI WA MUNGU?

Hongereni mnao shangilia ushindi na poleni kwa wale ambao hamkuridhishwa na zoezi lilivyo kuwa.

By Muungwana Mwenzenu Mr Q.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hy aloshinda hakushinda Kwa haki Ss utimie Mr ngapi?

    ReplyDelete
  2. bao la mkono mchezo,na nyie wabongo kweli mnaita huo ni uchaguzi?its a big joke,angalia kinachoendela Zanzibar ndiyo utajua huo ni upuuzi.

    ReplyDelete
  3. jiongo tu hilo. linawadanganyeni. mmesha muona john pombe magufuli kawa raisi. mtadanganywa siku nyingine mle mavi

    ReplyDelete
  4. Hakuna mahali katika video T.B. Joshua ametabiri hicho unachosema,labda kama alimtabiria wakiwa ofisini peke yao wawili tena kwa siri.kama una ushahidi tuwekee hapa.

    ReplyDelete
  5. Unabii? wa kujipa, alitabiri ndege ya Malaysia iliyopotea itaonekana baada ya siku chache imeonekana hadi leo? halafu anajiita nabii. Hizi ni nyakati za mwisho manabii wa uongo ndio hao kama walivyotajwa katika Biblia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunajua wewe ni mlengo gani!! kawaida yenu kubisha tu!! Ila unabii umetimia 100% ila mmechakachua. Poyeeee

      Delete
  6. uchaguzi umeshapita kuendelea kuchimbua ya binadamu yatakuwa mengi sana tumuombe mungu afungu ubongo wa watanzania wajitambue wapi walipotoka wapi walipo na wapi wanakotaka kwenda. Mungu si Mwanadamu kama ushindi ni wa haki au sio wa haki Mungu ndie ajuae

    ReplyDelete
  7. haina haja ya kubishana mungu mwenyewe ndo anejua kama aliyeshinda ni haki ama si haki. na tukumbuke pia mungu anatujua kuliko tusivyojijua.

    ReplyDelete
  8. Mnajua KUSHINDA NI KITU KINGINE NA KUIBIWA NI KITU KINGINE. Lowassa alishinda sema AMEHUJUMIWA. Ukweli utabaki kuwa ukweli daima. Mungu yupo.

    ReplyDelete
  9. Zulma sio nzuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa, Jambo Lililo la Mungu siku zote limekuwa likisimama (kutimia). Tumwachie Mungu atakavyoona vyema.

      Delete
  10. dini na siasa wapi na wapi, there must be separation of state and church, kumpima nabii, ni kwanza ampende Mungu na azishike Amri zake za kutoka 20:1 - 17 ikiwemo na siku ya jumamosi ambayo shetani kawapiga upofu watu waisahau, pia aenende kwa ushuhuda isaya 8:20 , ufunuo 19:10,awe anapingwa nashetani nasi rafiki wa ulimwengu ufunio 12:17, huyu kama amshuhudia yaesu vizuri ikiwa nakushika amri zake ikiwemo na sabato kama Yesu alivyoshika lika 4:16 ,atakuwa nabii wa kweli, ila pia kama unabii wake anaoutoa unatimia ni nabii,ila kama sivyo huyo ni wale biblia inayowaita manabii wa uongo wanaotumia jina lakristo ila mwisho wayote wanadanganya watu wengi kwa miujiza bandia na Siku ya kiama watakanwa na kuwa Mungu hakuwajua

    ReplyDelete
  11. KAWAIDA KILA KILICHO CHA MUNGU HUJIFUNUA WAZI KABISA. HAKUNA HAJA YA KULETA TENA USHABIKI KATIKA HILI LA MTUMISHI WA MUNGU T.B. JOSHUA. SUBIRINI MJUE ANAYEMTUMIKIA, USIJE UKAFIKIRI UTUMISHI WA MUNGU NI SAWA NA SIASA!! PLEASE STAY TO KNOW THE TRUTH.

    ReplyDelete

Top Post Ad