Yu Wapi Tundu Lissu Wakati Huu wa Madai ya Kuporwa Kura na Kufutwa Uchaguzi Zanzibar?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeshangazwa na ukimya wa yule Mwanasheria nguli wa CHADEMA katika utata mkubwa wa kisheria unaogubika taifa katika suala la uchaguzi Zanzibar na pia madai ya UKAWA kuibiwa kura. Kulikoni kwa mwanasheria huyu nguli? Hata kipindi cha mwisho mwisho cha kampeni za kitaifa UKAWA, hakutokea hadharani kama ilivyokuwa mwanzoni mwa kampeni hizo.
 Je kuna dots za ku-connect?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atasema nini? Tena akina Mwigulu Nchemba wanamsubiri bungeni, maana yeye ndio alokuwa anajifanya anauchungu na mafisadi, kwa njaa zao wakamsimamisha FISADI PAPA eti ndio agombee urais.........AJIANDAE

    ReplyDelete
  2. Hawezi sema kwani alisha tambua kwamba ccm iliwachez karata nzur kwa kuwatumia mtu wao Lowassa na wao bila kujua chochot wakamkubali eti yeye ndo anafaaa sasa alisha juwa ukwel kwamb walichezwa mchez wahal ya juu na ccm hivi wanajuta. Lowassa kazaliwa ccm kakomalia ccm kazeekea ccm eti leo akubal ccm ishindwe? hawezi huy angal ccm ukwel ndo huwooooo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TAWIRE!!!
      HEBU KUNYWA SODA HAPO DUKANI BILI NIWEKEE...CCM SHIKAMOOO!!

      Delete
  3. UNAMUULIZA TUNDU LISSU ILI IWEJE? WEWE CCM MWIZI MKUBWA JAMBAZI SUGU WA SIASA? JEMEDARI TUNDU LISSU ALIFANYIWA NJAMA CHAFU,ZA KITOTO,ZA KIHUNI NA UONGOZI MZIMA WA CCM KUANZIA MWENYEKITI WAKE WA TAIFA,JANUARY MAKAMBA MBEBA FUKO LA RUSHWA,BABA YAKE NA WAHUNI WENGINE KIBAO WA CCM.BILA AIBU WALIMTUMIA MKUU WA MKOA WA SINGIDA,KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA SINGIDA,LAKKINI PAMOJA NA KUTUPA MABILIONI YAO HARAMU,UKWELI UMESIMAMA,TUNDU LISSU KAPITA,TENA KWA KISHINDO.UNAMUULIZA YUKO WAPI KWA NINI HUMUULIZI JAMBAZI MWENZIO STEPHEN WASSIRA ALIYEBURUTWA MTUPU NA MPIGANAJI KAMANDA ESTHER BULAYA KWAMBA ANAUGUZA MAJERAHA WAPI KAMA.HUNA HOJA,JUST SHUT-UP.FUNGA HILO DOMO LAKO LA UMBEA.

    ReplyDelete
  4. Kama Mrundi nimeona mapema kwamba Lowassa hangepata ushindi. Ukiona chama kinaanza kusema hakitakubali matokeo y'a uchaguzi jua hakina nguvu. Na kukataa matokeo ukivunja mali y'a umma ni weakness pia.

    ReplyDelete
  5. CCM IMEYAKATAA MATOKEO ZANZIBAR,UNASEMAJE?UNAJITANGULIZA KUJIITA MRUNDI MNAFIKI MKUBWA MWIZI SUGU WA CCM.WEWE NI MKWERE WA MSOGA,USILIKANE KABILA LAKO AU KWA SABABU UNAJICHUBUA UONEKANE MWARABU KOKO?

    ReplyDelete

Top Post Ad