Agizo la Rais Magufuli Muhimbili latekelezwa kwa Vitendo leo Asubuhi....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taasisi ya Mifupa ya MOI imeanza kutekeleza agizo la Rais Daktari John Pombe Magufuli kwa kumfikisha Mgonjwa Chacha Makenge kwenye kipimo cha MRI nje ya hospitali hiyo ili aweze kuanza matibabu mara moja.

Hongera sana Rais kwa kuwakumbusha wajibu wao .

Pia hongereni Muhimbili kwa kuanza utekelezaji wa agizo la Rais mapema sana.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shame on all of you Muhimbili hosp.Mpaka aje Rais ndio muwajibike wakati kazi mlienda kuomba wenyewe bila kulazimishwa na mkaapa viapo(Madaktari)kuwahudumia wagonjwa bila ya kubagua who's who it's my hope that mmejifunza makosa yenu na mtafanya kazi kama mlivyoapa ili muwasaidie binadam wenzenu kwa roho moja na ya upendo bila ya kuwa na tamaa ya pesa mkumbuke kuwa"WHAT GOES AROUND COMES AROUND"

    ReplyDelete

Top Post Ad